familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi UKIMWI bado upo kweli?

    Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo. Ni dhahiri kwamba mlolongo wa ngono zembe ktk jamii upo baina ya makampuni, vyuo, shule, vijiji, bar, maofisi, mahoteli, mageto...
  2. Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  3. B

    Radi yaua watoto wawili wa familia moja Handeni

    Saturday May 01 2021 In summary Waliofariki ni Jafari Amiri (12) mwanafunzi wa darasa la nne na Hamidu Amiri (9) mwanafunzi wa darasa tatu. Handeni. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa kata ya Malezi wilayani Handeni Mkoa wa Tanga wamefariki baada ya kupigwa na radi. Diwani wa Malezi...
  4. Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
  5. Huyu Dada kaongea ukweli wa kutisha kuhusu Familia za Kiafrica

    Dada anasema muda pekee ambao, Familia nyingi za Kiaafrica huwa pamoja ni wakati ambao wanajiandaa na msiba, Ila Hata siku moja Familia haiwezi kukaa pamoja ili kuanzisha biashara au project itakayo saidia ndugu zao ambao ni unemployed. Ndungu wengi sana hupenda kuona baadhi ya ndugu zao...
  6. Sakata la Anerlisa na Ben Pol: Anerlisa atishia kumburuza Ben Pol Mahakamani, Ben Pol aomba kukutana na Familia

    Mwanadada na mfanya biashara Anerlisa , ametishia kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa mume wake, Ben Pol kutokana na madai kuwa amekuwa akimchafua kwenye mitandao ya kijamii. Anerlisa amepanga kumfikisha mahakamani mwimbaji huyo iwapo ataendelea kumtaja au kumhusisha kwenye mazungumzo yake...
  7. D

    Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

    Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati...
  8. Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  9. G

    Ushauri: Mgogoro wa familia kuhusu huduma na malezi ya watoto

    Wana great thinkers Kuna ushauri tafadhali unahitajika. Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2. Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa...
  10. Washington, USA: Mahakama yaitupilia mbali rufaa ya familia ya Valambhia dhidi ya Tanzania

    Mjane na Watoto wa Vdevram Purshotam Valambhia waliishtaki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani. Walitaka kulipwa dola 64,500,750 kutokana na Mkataba wa ununuzi wa vifaa vya kijeshi kati ya Kampuni ya Transport Equipment Ltd (TEL) ya Marehemu Valambhia na Serikali ya Tanzania...
  11. Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  12. Familia ya Barack Obama inaomba msaada wa kurudisha mwili wa Kezia Obama

    MY TAKE Aisee hapa jina la Barack Obama linatumika kumchafua Barack Obama!
  13. Kati ya Watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani, Watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana na familia zao kuwa duni

    KATI ya watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani,watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana hasa na familia zao kuwa duni hivyo kushindwa kuinua uchumi wa familia hizo. Pamoja na hilo, hali ya usajili katika mfuko wa Bima ya afya ya jamii (CHF)hairidhishi ,hadi sasa ni kaya 10,038...
  14. Kumbe yule jamaa iliyetembea uchi Morogoro na familia yake ni mwana MMU mwenzetu!

    Habari za uhakika kwa 100% zimeonesha yule jamaa aliyeonekana akitembea uchi na familia yake akiwa na mkwe wake Morogoro ni member mwenzetu wa MMU. Chanzo cha taarifa hii ni yeye mwenyewe alipokuwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari na kudai kwamba anajisikia vibaya sana kwani rafiki zake wa...
  15. Madikteta wa Familia tunaweza kudai Demokrasia?

    Naomba kujenga hoja kwamba ili tuweze kujenga uhalali wa kudai demokrasia ni muhimu sisi wenyewe tuoneshe mfano wa kuwa wanademokrasia kweli. Ninatumia dhana kwamba, mara zote, utawala wa nchi ni sura halisi ya utamaduni wa wananchi wake. Kwamba viongozi/watawala wa nchi hubeba tabia/ na hulka...
  16. Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

    Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania? Akina...
  17. Rais Samia Suluhu atuma salamu za rambirambi kwa familia ya malkia wa Uingereza

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II, baada ya kifo cha Mwanamfalme Prince Philip. Kupitia ukurasa wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Twitter ameandika kuwa:-
  18. S

    Mpaka sasa Serikali ipo kimya juu ya Watu 49 pamoja na watu sita wa familia moja waliofariki wakimuaga Rais Magufuli

    Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali ya ngazi ya wilaya au mkoa wa DSM. Kutokana na mkanyagano huo , Familia moja jijini Dar Es Salaam...
  19. J

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba atimba Bungeni na familia yake ya mke na watoto watano

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano. Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa. Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama. Chanzo: TBC...
  20. Vijana tuamke, kesi za wazazi tusizivalie njuga

    Mzazi akikupa hadithi za ujana wao mwambie sawa nimekuelewa,, ila usinifundishe namna ya kuishi na Mzazi mwenzio. Kuna wazazi hata kama alimfumaga baba na mchepuko siku ukipata kazi itakuwa silaha yake ya kuombea hela "nimeuza mkaa ili usome baba yako alikuwa bize na Malaya wake leo umepata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…