familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa. Ilikuwa hivi. Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na...
  2. Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia

    Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia. Leo tutaangazia baadhi ya changamoto hizo na jinsi zinavyoathiri familia zetu. 1.Tofauti za Majukumu na Wajibu.Mfumo wa familia umebadilika sana, na sasa...
  3. Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa...
  4. Wanaume hudumieni familia zenu

    La sivyo muache kuwataka wake zenu au wapenz wenu wazae.....msitese watoto....watoto hawana hatia.Wanaume wajibikeni katika familia zenu tafadhali
  5. P

    SoC03 Uwajibikaji katika ngazi ya familia

    Uwajibikaji ni jukumu muhimu katika ngazi ya familia. Kila mwanafamilia anapaswa kuchukua jukumu la kuchangia na kuhakikisha ustawi wa familia nzima. Hapa kuna maeneo muhimu ya uwajibikaji katika ngazi ya familia: Uwajibikaji wa kifedha: Kila mwanafamilia anapaswa kuchangia katika mahitaji ya...
  6. Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  7. Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

    Nyinyi wazee wa kiswahili mnaishi maisha ya tabu huku mkitegemea misaada kutoka kwa watoto wenu. Mtoto asipokupa msaada bila kujali hali yake unatishia kumpa laana. Wengi wenu mlioa mapema na kuzaa watoto wengi kama utitiri mlishindwa kuwaandaa na kuwatengenezea mazingira ili baadae wawe na...
  8. Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  9. Leo siku ya familia

    Unakumbuka nini katika familia au ni kitu gani umekifanyia familiia yako unajivunia sana Mimi leo nimeongea na familia nyingi kuhusu matatizo ya familia na how to address in positeve without affect child and other relative
  10. Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

    Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu...
  11. Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

    Picha: Nusura Abdala enzi za uhai wake Vumbi la kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah bado linazidi kutimka baada ya ndugu kutilia mashaka uharaka wa mazishi yake huku baba mkubwa wa marehemu akija na maswali matano. Wakati umma ukiendelea kupaza sauti ukitaka...
  12. S

    Kwa nini Biashara za ki Familia kwa waTanzania zinafeli.

    Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia. Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za familia zinadumu kwa Generation na generation. Hii nliyopitia internship ni kampuni ina miaka 30 sasa na...
  13. Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

    Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano. 👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo. Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
  14. Waziri Gwajima: Familia fuatilieni Watoto wenu mjue maadili yao

    Familia zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni Wito huo umetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima...
  15. Radio One na Kipindi chenu cha Mazungumzo ya Familia huyu Mgeni wenu Maajabu 18 atawashushieni Thamani

    Zifuatazo ni Kauli zake za Kipuuzi ambazo hazivumiliki tena na zinakera amezisema Leo Jumapili tarehe 7 May, 2023 katika Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One..... 1. Mwanaume yoyote anayecheza VICOBA au yuko katika Vikundi vya Mikipo vya Mtaani ni Dhaifu na Hajitambui 2. Mwanaume...
  16. R

    Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
  17. Maisha ya shule vs kuhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia

    Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia? #ElimikaWikiendi
  18. Asilimia 95 ya mabinti wanaotoka kwenye familia tajiri ni makahaba wa kutupwa!

    Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa! Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti...
  19. Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  20. M

    USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

    Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili. Nikienda kwenye mada moja Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…