familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Kamaliza form 6, Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi. option mbili 1. Apprenticeship miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
  2. Familia ya Glazer kusitisha kuiuza Manchester United

    Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kuchukua uamuzi huo kutokana na Wanunuaji kutofikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka, ambapo wao wanataka Pauni Bilioni 10 (Tsh. Trilioni 31.4). Ikiwa uamuzi huo utafanyika unaweza kuibua hasira za baadhi ya mashabiki wa United ambao wamekua...
  3. Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
  4. Dar: Apotea siku 41 familia ikidai Polisi walimchukua na kumpeleka kusikojulikana

    Wakati familia ya Fred Ngoti (46) ikidai ndugu yao alitoweka baada ya kuchukuliwa na Jeshi la Polisi, lenyewe limejibu si kila anayepotea huwa limemkamata. Inadaiwa Fred alitoweka tangu Julai 20, mwaka huu baada ya kupigiwa simu na rafiki yake aliyemtaka wakutane Vingunguti, Dar es Salaam kwa...
  5. Nomba uzoefu kwa wenye mzazi (wakike au kiume) mwenye watoto kutoka kwa wenzi zaidi ya wawili na wote wakiwa hai

    Habari jf. Naomba uzoefu wenu watu wazima mlio na watoto au watoto ambao umezaliwa kwenye familia hii. Ni zile familia ambazo Baba yako kazaa na wanawake hata 2 au zaidi ya 2 na wanawake aliozaa nao wapo hai pamoja na watoto pia. Hivi swala kama ilo kwako kama mtoto unaonaje kwenye familia hio...
  6. Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
  7. Rais Putin atuma salamu za Rambirambi kwa Familia za Waliouawa kwenye ajali ya Ndege akiwemo Prigozhin

    Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo. Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
  8. Kwanini inashauriwa duniani kote Watu wa Usalama ( Intelligence ) lazima watokee katika Familia ambazo zina Historia ya kuweko huko?

    Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
  9. Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  10. Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  11. Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
  12. Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  13. Familia nyingine ni za ajabu sana

    Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana. Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa...
  14. SoC03 Familia: Jiko la mapishi ya Uwajibikaji na Utawala Bora katika jamii

    Picha: Gazeti la Mtanzania UTANGULIZI. Katika jamii, familia ni msingi thabiti wa ujenzi wa maadili na tabia za kijamii na kizazi kijacho. Kama vile jiko linavyokuwa kitovu cha mapishi, familia pia ni kitovu cha kuhamasisha uwajibikaji na utawala bora. Katika mataifa ya Ulaya na Uarabuni...
  15. Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  16. R

    Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
  17. Jiunge Na Familia Ya Zaidi Ya Watu 750 Inayojadili Mambo Ya Ardhi Na Majengo BURE.

    Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti. ✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini, ✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
  18. R

    Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  19. Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
  20. C

    Je, hii ni nchi au familia?

    Moja kwa moja kwenye mada, Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli? Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote? Hebu tazama mifano michache hapa chini:- Hebu soma mtiririko hapo juu, Je, sisi wananchi ni "majuha"?! Au hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…