Familia zenye Laana, taifa lenye laana,

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
22,001
53,060
FAMILIA ZENYE LAANA, TAIFA LENYE LAANA,

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Familia zenye laana huzalisha taifa lililolaanika.
Làana ni malipo ya uovu ulioufanya wewe mwenyewe au uliofanywa na Watangulizi wako.
Baraka ni malipo ya Wema kwa uliyoyafanya mwenyewe au yaliyofanywà na Watangulizi wako.
Laana na Baraka ni Haki ya mtu au kîumbe chochote chenye utashi.

Zingatia, anayeweza kutoa Laana au baraka ni Mungu pekee. Hakuna mwingine mwenye uwezo wala Mamlaka ya kumbariki mtu wala kumlaani isipokuwa Mungu.
Hii ni kwa sababu kuwa laana inahusu Roho. Na hakuna mtu anayeweza kuiharibu roho ya mtu mwingine isipokuwa yule aliyeiumba.

Hata hivyo wapo wanaoweza kusababisha au kuwa kichocheo cha wewe kubarikiwa au kulaaniwa. Lakini hiyo haimaanishi wao ndio wenye kutoa baraka au laana.

Wazazi wanahusishwa zaidi kuwa chanzo au kisababishi cha laana kutokana na ukaribu, malezi na makuzi baina yao na watoto wao au wajukuu.

Laana zipo za aina Mbili;
1. Laana za Kurithi
Hizi mtu huzaliwa nazo. Hutembea katika damu ya mhusika. Mfano mtu anapofanya makosa yanayochochewa na mwili kama ñgono au ushoga hupelekea kurithisha laana hiyo mpaka kwa watoto wake na wajukuu. Mfano kama Baba ni shoga au muasherati laana hiyo huweza kûtembea mpaka kizazi na kizazi. Mamlaka na utawala pia ni ishu za kiasili. Kama mtu atakuwa na uchu wa madaraka au ûtawala akafanya uasi ni rahisi kurithisha laàna hiyo kwa watoto.
2. Laana zisizo za Kurithi.
Hizi mtu hazaliwi nazo. Hizi hutokana na mazîngira na makuzi ya mtu.
Hizi hutokana na mifumo ya kijamii au mahali mtu alipokulia.
Mfano, mtu amekulia na kulelewa katika mazingira ya uchu wa mali au pesa inapewa thamani kuliko utu. Basi mtu hûyo huweza kufanya matendo yanayoweza kumpa laana yeye mwenyewe au watoto wake ku-adapt laana hiyo. Lakini hakuna anayezaliwa na tamaa ya mali au pesa. Kwa sababu pesa sio jambo la asili.

Îngawaje wapo Watu wasioamini uwepo wa laana kumaanisha hawaamini uwepo wa Muumba yaani hao hawaamini kuwa kuna Ñguvu iliyosababisha dunia na yôte yaliyomo kutokea.

Kikawaida laana za Kurithi husababishwa kuundwa kwa sheria kali kama za kifo. Huku laana zisizorithishwa huwekewa sheria na adhabu za kawaida ambazo hazihusishi Kifo.

Mfano uasi kama ushoga, uzinzi, ubakaji, ufiraji ni makosa yanayosababisha laana zinazorithishwa kutoka kizazi kimoja mpaka cha nne. Yàani laana inayodumu kwa miaka mia nne. Makosa hayo adhabu zake huwa kali ikiwezekana Kifo. Kwa sababu athari zake ni kubwa.

Makosa kama uchu wa madaraka ambayo hupelekea dhulma, rushwa, ufisadi, mauaji, ambayo husabishwa laana ya umaskini, njaa, magonjwa, uonevu, ûjinga n.k. Ni makosa ambayo adhabu zake ni Kifo.
Uchu wa madaraka ni laana àmbayo hurithishwa kutoka kizazi kimoja mpaka cha nne.
Kama Baba alikuwa na uchu wa madarakà automatically watoto wake watakuwa wanalaana hiyo. Ingawaje Exceptional mmoja anawèza akawepo.

Tatizo la laana za asili yaani za kurithi huchangia kwa kiasi kikubwa laana zisizo za kurithi.

Unapoambiwa nchi inalaana ya umaskini, ujinga na maradhi basi hapo kifalsafa itafafanulika kama kuna tatizo la uchu wa utawala unaôpelekea uchumia tumbo, ubinafsi, ufisadi na dhulma kwa Watu.

Uchu wa madaraka au ûtawala unaenda sambamba na dhulma ambayo ni kichocheo kikubwa cha laana kali.
Sio ajabu kwa nchi zenye uchu wa madaraka kuona dhulma ni jambo la kawaida. Dhulma ni tafsiri halisi ya ubinafsi uliopitiliza.

Na chanzo kikuu cha kulaaniwa ni dhulma yaani kutokutenda Haki.

Kutaka kuwa bora kuliko wengine ni kichocheo kingine cha Laana kwani hii itakufanya uwe mbinafsi na udhulumu haki za Watu wengine.

Ni vizuri kama familia unataka kuanzisha ukazingatia msingi wa haki na upendo kwa kila linaloendelea ndani ya nyumba yako. Sio tuu ndani bali hata nje huu ikiimaanisha machumo yote unayoyapata huko unakozafanyia shughuli zako.

Pata machumo/kipato halali. Bila kumdhulumu mtu.
Pia wape wafanyakazi wako kipato reasonable ambacho hata ingekuwa wewe usingeiona tatizo.

Usipitishe tarehe ya kulipa wafanyakazi wako.

Elewa, Mungu ameagiza Watu wafanye kazi ili awape riziki kupitia kufanya kwao kazi. Sasa mtu anakufanyia kazi Mungu anataka kumbariki kupitia mshahara uliokubaliana naye, wewe unamcheleweshea riziki yake ambayo Mungu amekupa ili umpe. Hiyo ni dhulma na inakufanya uiingize familia yako kwenye laana.

Elewa, kama unajua kabisa huna uwezo wa kuajiri mtu na ukiajiri utamdhulumu kwa namna yoyote iwe kuchelewesha mshahara au kutokumpa au kumpa mshahara mdogo usioendana na kazi anazozifanyà ni bora usiajiri.

Hakuna jambo baya na hatari kama kuishi na mtu anayeumia nafsini mwake kuwa unamdhulumu na kumwonea. Kisa hana pakwenda. Huo ni ushetani na unajipatia laana.

Kama unahitaji kuishi maisha ya furaha na amani basi usidhulumu haki za Watu wengine.

Ni uchawi na ushirikina kumdhulumu mtu mwingine.
Na huwezi kudhulumu mtu mwingine kama sio mchawi au mshirikina. Kwa sababu mchawi na washirikina ndio wenye ubinafsi wa kiwango hicho.

Ni afadhali uwe maskini au uishi maisha ya kawaida kuliko ujiingize kwenye Laana ambayo itakugharimu.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
 
Laana za ukoo na familia tunaziondoa Kwa kufanya toba na maombi ya nguvu ili kuvunja hiyo laana isiende Kwa uzao wako na wajukuu wako..
Haya maombi tunafanya Sana kanisani kwetu tena sometimes kunakuwa na semina ya wiki nzima tunafundishwa jinsi ya kuondokana na laana za kurithi.

Laana za ukoo haziondoki Kwa maombi ya jumapili Hadi jumapili Bali unahitaji utakaso wa Moyo huku ukifunga na kukesha ukiomba MUNGU, Sisi ambao tumeamua kujikita Kwa MUNGU tunajua haya
 
Moja ya laana inayoliandama taifa letu ni pale tulipoamua kuabudu fedha za Lowassa na Kikwete, na kumkataa Salim Ahmed Samia kuwa rais wetu. Nchi ilianza kuporoka mara baada ya mkwere kuwa rais.
 
Laana za ukoo na familia tunaziondoa Kwa kufanya toba na maombi ya nguvu ili kuvunja hiyo laana isiende Kwa uzao wako na wajukuu wako..
Haya maombi tunafanya Sana kanisani kwetu tena sometimes kunakuwa na semina ya wiki nzima tunafundishwa jinsi ya kuondokana na laana za kurithi.

Laana za ukoo haziondoki Kwa maombi ya jumapili Hadi jumapili Bali unahitaji utakaso wa Moyo huku ukifunga na kukesha ukiomba MUNGU, Sisi ambao tumeamua kujikita Kwa MUNGU tunajua haya
Hakuna laana inayoondoka kwa maombi kama baba ako alipata mali kwa kudhulumu jua ipo siku na nyie mtadhulumiwa.........
 
Yesu anajua kabisa nguvu ya laana ni kuaacha kufaanya mambo ya laana kama unajua ulidhulumu basi fanya mpango urudishe kile ulichokidhulumu ndo laana hii itaondoka kwako.......

Now days kunawachungaji hawasem ukweli juu haya mambo wao wanataka sadaka tu ............
 
Kuna majitu mnaakili sana.
.ukweli hauwezi kusemwa kwa sababu uongo ni biashara yenye faîda ya haraka.
Ukweli faida yàke huja polepole
 
Ezekieli 18:19-20
Lakini ninyi mwasema, “Kwa nini mwana asiteseke kwa ajili ya uovu wa baba yake?” Mtoto atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu zote, hakika ataishi. Mtu atendaye dhambi atakufa. Mtoto hatauchukua uovu wa mzazi wake, wala mzazi hatauchukua uovu wa mtoto wake; haki yake mwenye haki itakuwa yake mwenyewe, na uovu wa mtu mbaya utakuwa wake mwenyewe.

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
FAMILIA ZENYE LAANA, TAIFA LENYE LAANA,

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Familia zenye laana huzalisha taifa lililolaanika.
Làana ni malipo ya uovu ulioufanya wewe mwenyewe au uliofanywa na Watangulizi wako.
Baraka ni malipo ya Wema kwa uliyoyafanya mwenyewe au yaliyofanywà na Watangulizi wako.
Laana na Baraka ni Haki ya mtu au kîumbe chochote chenye utashi.

Zingatia, anayeweza kutoa Laana au baraka ni Mungu pekee. Hakuna mwingine mwenye uwezo wala Mamlaka ya kumbariki mtu wala kumlaani isipokuwa Mungu.
Hii ni kwa sababu kuwa laana inahusu Roho. Na hakuna mtu anayeweza kuiharibu roho ya mtu mwingine isipokuwa yule aliyeiumba.

Hata hivyo wapo wanaoweza kusababisha au kuwa kichocheo cha wewe kubarikiwa au kulaaniwa. Lakini hiyo haimaanishi wao ndio wenye kutoa baraka au laana.

Wazazi wanahusishwa zaidi kuwa chanzo au kisababishi cha laana kutokana na ukaribu, malezi na makuzi baina yao na watoto wao au wajukuu.

Laana zipo za aina Mbili;
1. Laana za Kurithi
Hizi mtu huzaliwa nazo. Hutembea katika damu ya mhusika. Mfano mtu anapofanya makosa yanayochochewa na mwili kama ñgono au ushoga hupelekea kurithisha laana hiyo mpaka kwa watoto wake na wajukuu. Mfano kama Baba ni shoga au muasherati laana hiyo huweza kûtembea mpaka kizazi na kizazi. Mamlaka na utawala pia ni ishu za kiasili. Kama mtu atakuwa na uchu wa madaraka au ûtawala akafanya uasi ni rahisi kurithisha laàna hiyo kwa watoto.
2. Laana zisizo za Kurithi.
Hizi mtu hazaliwi nazo. Hizi hutokana na mazîngira na makuzi ya mtu.
Hizi hutokana na mifumo ya kijamii au mahali mtu alipokulia.
Mfano, mtu amekulia na kulelewa katika mazingira ya uchu wa mali au pesa inapewa thamani kuliko utu. Basi mtu hûyo huweza kufanya matendo yanayoweza kumpa laana yeye mwenyewe au watoto wake ku-adapt laana hiyo. Lakini hakuna anayezaliwa na tamaa ya mali au pesa. Kwa sababu pesa sio jambo la asili.

Îngawaje wapo Watu wasioamini uwepo wa laana kumaanisha hawaamini uwepo wa Muumba yaani hao hawaamini kuwa kuna Ñguvu iliyosababisha dunia na yôte yaliyomo kutokea.

Kikawaida laana za Kurithi husababishwa kuundwa kwa sheria kali kama za kifo. Huku laana zisizorithishwa huwekewa sheria na adhabu za kawaida ambazo hazihusishi Kifo.

Mfano uasi kama ushoga, uzinzi, ubakaji, ufiraji ni makosa yanayosababisha laana zinazorithishwa kutoka kizazi kimoja mpaka cha nne. Yàani laana inayodumu kwa miaka mia nne. Makosa hayo adhabu zake huwa kali ikiwezekana Kifo. Kwa sababu athari zake ni kubwa.

Makosa kama uchu wa madaraka ambayo hupelekea dhulma, rushwa, ufisadi, mauaji, ambayo husabishwa laana ya umaskini, njaa, magonjwa, uonevu, ûjinga n.k. Ni makosa ambayo adhabu zake ni Kifo.
Uchu wa madaraka ni laana àmbayo hurithishwa kutoka kizazi kimoja mpaka cha nne.
Kama Baba alikuwa na uchu wa madarakà automatically watoto wake watakuwa wanalaana hiyo. Ingawaje Exceptional mmoja anawèza akawepo.

Tatizo la laana za asili yaani za kurithi huchangia kwa kiasi kikubwa laana zisizo za kurithi.

Unapoambiwa nchi inalaana ya umaskini, ujinga na maradhi basi hapo kifalsafa itafafanulika kama kuna tatizo la uchu wa utawala unaôpelekea uchumia tumbo, ubinafsi, ufisadi na dhulma kwa Watu.

Uchu wa madaraka au ûtawala unaenda sambamba na dhulma ambayo ni kichocheo kikubwa cha laana kali.
Sio ajabu kwa nchi zenye uchu wa madaraka kuona dhulma ni jambo la kawaida. Dhulma ni tafsiri halisi ya ubinafsi uliopitiliza.

Na chanzo kikuu cha kulaaniwa ni dhulma yaani kutokutenda Haki.

Kutaka kuwa bora kuliko wengine ni kichocheo kingine cha Laana kwani hii itakufanya uwe mbinafsi na udhulumu haki za Watu wengine.

Ni vizuri kama familia unataka kuanzisha ukazingatia msingi wa haki na upendo kwa kila linaloendelea ndani ya nyumba yako. Sio tuu ndani bali hata nje huu ikiimaanisha machumo yote unayoyapata huko unakozafanyia shughuli zako.

Pata machumo/kipato halali. Bila kumdhulumu mtu.
Pia wape wafanyakazi wako kipato reasonable ambacho hata ingekuwa wewe usingeiona tatizo.

Usipitishe tarehe ya kulipa wafanyakazi wako.

Elewa, Mungu ameagiza Watu wafanye kazi ili awape riziki kupitia kufanya kwao kazi. Sasa mtu anakufanyia kazi Mungu anataka kumbariki kupitia mshahara uliokubaliana naye, wewe unamcheleweshea riziki yake ambayo Mungu amekupa ili umpe. Hiyo ni dhulma na inakufanya uiingize familia yako kwenye laana.

Elewa, kama unajua kabisa huna uwezo wa kuajiri mtu na ukiajiri utamdhulumu kwa namna yoyote iwe kuchelewesha mshahara au kutokumpa au kumpa mshahara mdogo usioendana na kazi anazozifanyà ni bora usiajiri.

Hakuna jambo baya na hatari kama kuishi na mtu anayeumia nafsini mwake kuwa unamdhulumu na kumwonea. Kisa hana pakwenda. Huo ni ushetani na unajipatia laana.

Kama unahitaji kuishi maisha ya furaha na amani basi usidhulumu haki za Watu wengine.

Ni uchawi na ushirikina kumdhulumu mtu mwingine.
Na huwezi kudhulumu mtu mwingine kama sio mchawi au mshirikina. Kwa sababu mchawi na washirikina ndio wenye ubinafsi wa kiwango hicho.

Ni afadhali uwe maskini au uishi maisha ya kawaida kuliko ujiingize kwenye Laana ambayo itakugharimu.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Taikon una vibweka sana.Kwa hiyo huwa ukimaliza kuandika na hapohapo unachoka na kuomba upumzike?🤣🤣🤣
 
Ezekieli 18:19-20
Lakini ninyi mwasema, “Kwa nini mwana asiteseke kwa ajili ya uovu wa baba yake?” Mtoto atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu zote, hakika ataishi. Mtu atendaye dhambi atakufa. Mtoto hatauchukua uovu wa mzazi wake, wala mzazi hatauchukua uovu wa mtoto wake; haki yake mwenye haki itakuwa yake mwenyewe, na uovu wa mtu mbaya utakuwa wake mwenyewe.

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Kazi ipo.Tujitahidi kutenda mema kwa maana ubaya haulipi.
 
Ezekieli 18:19-20
Lakini ninyi mwasema, “Kwa nini mwana asiteseke kwa ajili ya uovu wa baba yake?” Mtoto atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu zote, hakika ataishi. Mtu atendaye dhambi atakufa. Mtoto hatauchukua uovu wa mzazi wake, wala mzazi hatauchukua uovu wa mtoto wake; haki yake mwenye haki itakuwa yake mwenyewe, na uovu wa mtu mbaya utakuwa wake mwenyewe.

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app

Hiyo aya inapingana na uhalisia.
Mfano, aliyekula tunda ni Adamu na Eva kwa nini adhabu/laana ya kifo ipo mpaka leo?
Wewe ulikula tunda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom