Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 682
- 1,274
Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi walio fanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.