familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    SoC04 Mbinu za kongeza kipato kwa familia

    Katika maksha yetu ya kitanzania tunakabiliwa na changamlto kubwa sana ya ukuwaji wa kiuchumi. Tatizo ambalo linaonekana ni la kutithi Kwa vizazi na vizazi . Kwa Tanzania tumekua tuki Ami I kama wazazi wako hawakua matajiri wau wenye uwezo basi mtoto huwezi kupiga hatua .nivijana wachavhe sana...
  2. Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
  3. Enyi wazazi wapeni na waonesheni upendo watoto wenu

    Good morning to all parents, Straight to the point, wazazi wenzangu nawasihi sana tuwapende sana watoto wetu katika hali yeyote ile. Tukiwa na fedha ama fukara, kitu pekee ambacho mtoto anahitaji zaidi kutoka kwa wazazi/mzazi ni upendo. Hayo mengine yote Mungu hubariki na huyafanya kwa wakati...
  4. Naogopa kuwa mama

    Signed out
  5. Familia zenye Laana, taifa lenye laana,

    FAMILIA ZENYE LAANA, TAIFA LENYE LAANA, Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Familia zenye laana huzalisha taifa lililolaanika. Làana ni malipo ya uovu ulioufanya wewe mwenyewe au uliofanywa na Watangulizi wako. Baraka ni malipo ya Wema kwa uliyoyafanya mwenyewe au yaliyofanywà na Watangulizi...
  6. D

    Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
  7. M

    Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

    Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede. Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja...
  8. Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
  9. SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  10. Ongezeko la kuvunjika Ndoa, natoa RAI kituo Jumuishi cha Taifa cha Familia - Temeke kichunguzwe

    Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
  11. S

    Kua makini kama familia yenu Ina historia ya Kansa na magojwa ya moyo

    .
  12. Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar, Cde. Mwajabu Mbwambo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kituo cha Afya Kinyerezi

    📌Kituo cha Afya Kinyerezi 🗒️15/5/2024 Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
  13. Ni dalili zipi zaoneshwa kwa mwanaume kuwa tegemezi kwa familia?

    Ikiwa upo mbali na nduguzo, umekua mtu wa bize sana na kazi kiasi kwamba upati mda wa kuwatembelea kujua shida zao na changamoto. Ni vipi waweza tambua kuwa una umuhimu kwao kwa kuwasaidia changamoto zao?
  14. Nukuu za mwenyekiti wa UWT taifa katika siku ya familia duniani

    NUKUU ZA MWENYEKITI WA UWT TAIFA KATIKA SIKU YA FAMILIA DUNIANI
  15. N

    Olengurumwa : Kukosekana kwa familia imara inaweza kuwa sababu ya kuchochea uharifu na kuporomoka kwa maadili

    "Faida za kuwa na familia imara yenye amani, mshikamano na upendo kwa watoto ni kubwa sana, kwanza watoto watakuwa salama, sio rahisi watoto kufanyiwa ukatili, watoto watakuwa na maadili mazuri lakini utaona hata idadi ya watoto wa mitaani inapungua" Mratibu THRDC, Wakili, Onesmo Olengurumwa...
  16. Mei 15: Siku ya Kimataifa ya Familia. Unajivunia nini kuhusu Familia yako?

    Siku ya Kimataifa ya Familia ni maadhimisho yanayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu umuhimu wa familia na kusherehekea jukumu muhimu ambalo familia zinao katika jamii. Ni fursa ya kutafakari kuhusu masuala yanayohusiana na familia, kama vile afya, elimu, usawa...
  17. Heri ya Siku ya Familia Duniani

    Wasalaam, Ile siku ni Leo tarehe 15 Mei, 2024. Kila mkoa unaadhimisha na wilaya zake na kata zake na vijiji vyake. Vyombo vya habari vinapaza sauti. Ukiona kimya uliko, basi kuna mtu hajatimiza tu wajibu wake wa kupaza sauti au wa kusikiliza sauti iliyopazwa. Sisi tuko Dodoma, Viwanja vya...
  18. Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana. Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
  19. L

    Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza...
  20. Profesa Ndakidemi kuipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Moshi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameahidi kutoa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi baada ya mvua kubwa Iliyonyesha usiku wa April 25 Mwaka huu . Mvua hiyo ambayo ilileta uharibifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…