familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. nipo online

    JamiiForums Tanzania Familia imenijia juu kisa sijaomba ajira za ualimu serikalini ambazo kuna interview kuanzia Leo

    nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua. Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon. Kwa nini...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani ya Hayati Magufuli yaliyokuathiri katika levo yako binafsi au familia

    CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lissu na Lema hadi leo wamefichwa Ulaya!

    Hata baada ya yule "Herode" aliyewatishia katika Nchi ya ahadi kufa, Bado familia hizi zimefichwa Ubelgiji na Canada. Na mara nyingi, kukitokea Hali ya hewa isiyo nzuri nchini, mabwana Hawa, haraka sana hukimbilia huko ugaibuni. Itakumbukwa hata wakati wa maandamano ya CHADEMA mwaka Jana...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  5. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

    Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea. Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kabendera hayupo peke yake kwenye hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika. Inaweza ikawa...
  7. T-Bagwell

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    Habarini wana jukwaa. Mwanzoni mwa mwaka jana (December 2024) wazazi wangu walinishauri tutume wawakilishi waende nyumbani kwa wazazi wa mchumba wangu kwaajili ya utambulisho. Japokua Binti nilishaanza kuishi naye kwa zaidi ya miezi mitatu, ilihali tulishakaa kwenye mahusiano kwa zaidi ya...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua. Kama Kuna mtu anisaidie maana...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA iko tayari kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye atatumia zaidi ya miezi sita ya mwaka akiwa Ubelgiji na familia yake?

    Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje? Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake. Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeamini ni ngumu sana kutoboa kwenye maisha kama unatoka kwenye familia masikini

    Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa. Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu Wanapewa connection na ndugu Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa Oya tupambane sio rahisi
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  13. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Familia Takatifu: Mtindo wa Kiroho wa Kimungu katika Janga la Kivunjiko cha Familia za Kisasa na Mfano wa Maisha ya Kimungu Katika uhalisia

    👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Radi yaua watu watano wa familia moja

    Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo December 29,2024 wakiwa wamelala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Chadema haijawahi kuwa na M.kiti, nje ya Familia ya Mbowe, Hawezi kuvunja mwiko

    Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema. Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya...
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Japo wana udhaifu wao, wanawake ndio nguzo ya familia na dunia kwa jumla

    Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
  18. magnifico

    JamiiForums Tanzania Salamu Za Krismasi kutoka kwa Mohammed Salah Na Familia yake

  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya familia na kufurahi na maskini

    Kwa sasa maisha ni magumu mno,vipato ni vidogo na matumizi ni makubwa sana.Kinachotakiwa ni kuacha tamaa na uvumilivu mkubwa sana,ama wewe na mkeo au wewe na mmeo,au kwa mabachela,bila hivyo kuangamia ni rahisi sana
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo nlikuwa nawaona wazee wanaoacha familia zao na kuondoka home kuwa wabinafsi sana ila kwa yanayoendelelea CHADEMA Msigwa kaona mbali

    Kama kichwa kinavyojieleza... huenda wanachama chadema wameona mbali kuwa njia haitoki as long as mwamba Mbowe yuko enzini... Unajua baada ya kukaa ndani ya ndoa nimekuja kuelewa kuwa sio wababa wote wanachama home na kusepa kuwa ni wabinafsi... wengine ni sababu za wake zao kuwa na kero na...
Back
Top Bottom