fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtazamo wangu binafsi baada ya fainali ya kwanza ya shirikisho

    USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC. Kwa mantiki hii, utani wa jadi wa timu zetu hizi mbili nchini, mara nyingi ni wenye kuumiza upande mmoja au mwingine...
  2. M

    Caf Confederation cup ni michuano ya wachovu: Ushahidi ni timu iliyotolewa mapema champions league huko inafika fainali!

    Caf confederation cup ni michuano ya wachovu!! Hata timu iliyotolewa mapema tu uko caf champions league, lakini akirudi kwa wachovu anafika fainali!!
  3. M

    Nazi nzima ni Agharabu ya Mbovu. Waliocheza Fainali ya Afrika wanachekwa na waliokosa kila Medali kwa Misimu 2 mfululizo

    Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria. Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
  4. Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

    Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter: "Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
  5. Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

    Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria. Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.
  6. Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  7. M

    Kila la heri kwa USM Alger kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Africa dhidi ya Yanga

    shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
  8. S

    Aucho kukosa fainali mbili CAF

    Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
  9. Kuelekea mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC siku ya jumapili

    Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi katika michuano hii ilikuwa ni rarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 2023 dhidi ya Monastir...
  10. Tumetoka mbali: Simba iliyocheza Fainali ilikuwa ikivaa jezi za Manchester United

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993. Dah kitambo sana mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu fainali. Mtu anavaa jezi bila hata kuwa na Mkataba na sharp.
  11. S

    CAF Imetoa Takwimu za Golikipa Wa Yanga Vs USAM kuelekea Fainali

    🇲🇱 Djigui Diarra 🆚 Oussama Benbout 🇩🇿 A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! 🥅
  12. Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  13. Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
  14. Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

    Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali. Hapa pa...
  15. Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.

    Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa. Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi...
  16. Rais Samia aipongeza Yanga kwa kutinga Fainali za CAF Confederation Cup

  17. M

    Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
  18. Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  19. S

    Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

    📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa hovyo sana Bora mechi iwe inapigwa moja tu kwenye neutral ground. 📝 Majib ya swali hili na lawama...
  20. Hawa Ac Milan wamefikaje nusu fainali ya UEFA?

    Yaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap. Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani? Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu? Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…