Pengine leo tutashuhudia fainali mbovu ya UCL kuliko zote katika historia ya michuano hiyo

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku

Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu zaidi katika historia kwasababu mbalimbali.

Mosi, man city wapo katika fomu ya hatari sana anatoa dozi nzito na hana huruma.

Pili, man city ana kikosi imara sana, anayeanza na ayekaa benchi wote sawa. Anaweza akaanza bernardo silva kwenye wing ya kulia huku Mahrez akianzia sub, akiingia lazma akusababishie madhara.

Tatu, ni mbinu za guardiola, amekuwa akibadilika kila uchao na mabadiliko hayo ya mbinu yamekuwa yakimpa matokeo mazuri.

Nne, uzee wa wachezaji wengi wa inter milan wakiingozwa na akina Dzeko, Mkhytarian, Brozovic na wengineo ambao itakuwa ngumu kwao kukimbizana na akina KDB na Gundogan muda wote.

Mwisho wa siku man city anaweza akashinda kuanzia goli 3 na kuendelea na kuondoa ladha ya fainali kama ile fainali mbovu ya spurs na liverpool mwaka 2019.
 
Ngojea nikabeti Sasa Man City 3 Inter Milan 0. Mkeka wa Mhindi umeshachanika
 
Unaikumbuka ile tweet ya Admin wa ukurasa wa Twitter wa Man City mwaka 2021 ilipofika dk ya 53? Isije ikajirudie tena. Chelsea mliwaona ni under dog ila mlichokiona kilibebwa na ile tweet nzima.

Natunza maoni yangu kwanza!
 
Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku

Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu zaidi katika historia kwasababu mbalimbali.

Mosi, man city wapo katika fomu ya hatari sana anatoa dozi nzito na hana huruma.

Pili, man city ana kikosi imara sana, anayeanza na ayekaa benchi wote sawa. Anaweza akaanza bernardo silva kwenye wing ya kulia huku Mahrez akianzia sub, akiingia lazma akusababishie madhara.

Tatu, ni mbinu za guardiola, amekuwa akibadilika kila uchao na mabadiliko hayo ya mbinu yamekuwa yakimpa matokeo mazuri.

Nne, uzee wa wachezaji wengi wa inter milan wakiingozwa na akina Dzeko, Mkhytarian, Brozovic na wengineo ambao itakuwa ngumu kwao kukimbizana na akina KDB na Gundogan muda wote.

Mwisho wa siku man city anaweza akashinda kuanzia goli 3 na kuendelea na kuondoa ladha ya fainali kama ile fainali mbovu ya spurs na liverpool mwaka 2019.

Fainali mbovu kabisa ni ile ya 2010 kati ya INTER MILAN na BAYERN MUNICH, Bayern alikufa mbili kwa counter attack.
 
Back
Top Bottom