fahamu

  1. N

    Fahamu Domain ni nini na inavyotumika kwenye biashara yako

    Domain ni nini? Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako. Kwa nini domain ni...
  2. Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

    FAHAMU ZAIDI: Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando FAHAMU...
  3. TAMBUA HISIA, KUSUDI NA VITENDO VYA MTU KUPITIA ISHARA MBALIMBALI ZA MWILI

    Zingatia hii, mwili wa binadamu unaweza kuonesha ishara mbalimbali katika kufikisha ujumbe pasipo kutumia maneno kabisa. FBI au polisi wapelelezi wanafanikiwa kuwabaini watuhumiwa wa makosa mbalimbali kwa urahisi zaidi kwasababu ya ishara wanazozionesha wakati wakihojiwa. Zifahamu ishara...
  4. I

    Ukisikia Ujima, Slowslow, Kiluvu na Modemba meza moja, Fahamu kazi ndio imeanza...

    Katika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya โ€œkuvunja ukimyaโ€ kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza mamlaka iliyo madarakani kwa sasa. Wanaita hiyo "operesheni ya mfululizo wa alama." Kinachoonekana...
  5. Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (ยฃ205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  6. Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

    VITAFUNWA VYA ASILI Habari za wakati huu. Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi? Baada ya kuulizwa swali hili nimeona niandike makala fupi juu ya vitafunwa hivyo ili wadau wengi...
  7. Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

    Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
  8. FAHAMU KABILA LA BAJAU

    Kabila la Bajau ni kundi la watu wa asili wanaoishi zaidi Kusini Mashariki mwa Asia ya Baharini, wakipatikana sehemu za Ufilipino, Malaysia, Indonesia, na Brunei. Wanaishi maisha yanayohusiana sana na bahari, na wanajulikana sana kwa uwezo wao wa ajabu wa kupiga mbizi na tamaduni zao za kipekee...
  9. I

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? Itโ€™s not. Itโ€™s real, itโ€™s dangerous, and itโ€™s probably inside your laptop right now. ๐Ÿ‘‡ Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  10. Fahamu kwa undani tofauti kati ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kati ya Marekani na Tanzania

    Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake. Tukianza na nchi ya Marekani Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024 GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni Idadi...
  11. I

    FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO?

    FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO? ๐Ÿ”Ž 1. IP Address ni Nini? IP (Internet Protocol) Address ni anwani ya kipekee ya nambari inayotambulisha kifaa chako kwenye mtandaoโ€”iwe ni simu, kompyuta, TV ya kisasa, au printer. Ni sawa na anuani ya nyumba: bila hiyo...
  12. Fahamu kuhusu Polonium-210

    Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium. Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210. Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth...
  13. Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  14. Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

    Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza; ๐ŸŽคNini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza ๐ŸŽคPombe imegawanyika katika makundi yapi ๐ŸŽคIpi...
  15. Fahamu tofauti kati ya mizigo(luggage) na kifurushi (parcel) ukisafiri na SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi wa aina gani ya mizigo abiria anayoruhusiwa kusafiri nayo katika mabehewa ya abiria ya SGR. Akitolea ufafanuzi huo Aprili 12, 2025 katika stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam, meneja wa Treni za abiria wa TRC Bw. Ringo Mboma...
  16. M

    Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

    Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu...
  17. M

    Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  18. FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILES

    CERAMIC TILE FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE Na Ochoa Home Decor NI ZIPI CERAMIC TILE? Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...) Hizi zimetengenezwa kwa material mepesi zaidi... AINA ZA CERAMIC TILE. Kunaaina mbili za Ceramic tile...
  19. N

    Je Unafahamu mfanyakazi wako anakucost Sh ngapi? Fahamu hapa

    Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi. Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza. Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ