fahamu

  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mbunge fahamu tu umebakisha miezi mitano tu kuanzia sasa .

    Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni . Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana . Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).🇹🇿
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Fahamu Makundi Mbalimbali ya Vijana Wanaokaa Vijiweni (Jobless)

    Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
  3. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi Content Creators wanavyojiingizia kipato

    Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili. Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube) Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization. A. Kulipwa na platform husika...
  4. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kupooza Uso/mdomo (Facial Paralysis): Mdomo kusogea upande: Visababishi na Matibabu

    Picha kwa hisani ya Google. Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
  5. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
  6. snipa

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kazi ya briefcase inayobebwa na walinzi wa raisi au viongozi wakubwa.

    Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania fahamu imani hizi za aina mbili kisha jitafakari kuwa wewe ni mfuasi wa imani ipi kati ya hizi kwenye haya madhebu wasabato, waislam, wakatoloki,

    post closed
  8. Peter_John

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
  9. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu-Makubaliano ya Kuanzisha Kampuni-Pre-incorporation Agreements

    Habari za wakti huu; Katika shughuli zangu huwa nakutana na changamoto ya watu kutokutambua aina ya kampuni wanayotaka kuanzisha hii hupelekea watu ambao lengo lao ni kuanzisha kampuni ambayo ni Public kujikuta wakianzisha kampuni ambayo ni Private n.k. HIvyo basi leo nimeona niwaletee mjadala...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Retirement Planning(Kujipanga kwa ajili ya Kustaafu)

    Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamb mnaendelea salama na Shughuli zenu za upambanaji na utafutaji wa Riziki; Leo nimeona nilete mada ambayo kwa wajasiriamali wengine inaweza kuwa na faida sana na kuwasaidi katika kufanya mipango kuhusu maisha yao ya sasa na ya baada. Leo nataka...
  12. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Fahamu falsafa ya Order out of chaos inayotumika kuleta utaratibu mpya baada ya machafuko

    Habari zenu waungwana..... Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama njia ya kuleta "utaratibu" au "mabadiliko" ambayo ni yenye manufaa kwa wale walio katika madaraka...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  15. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu? Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽ Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid. Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi mbalimbali ya Baking Soda

    Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria. Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
  17. Thabit Madai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke wako anakusaliti? Fahamu viashiria vya Mwanamke anayekusaliti

    Mdau baada ya mihangaiko ya siku nzima ya kujenga nchi wacha tujipumzishe na hii, tufahamu Indicator za Mwanamke ambae anacheat. 1. Anakua mkali unapomjibu maswali rahisi au anakuuliza kwanza kabla ya kukujibu. 2. Anakuwa na rafiki mpya anaemthamini kuliko hata ndugu zako mara nyingi ndo...
  18. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Fahamu mwili wa kiongozi U.S.S.R na uhifadhi wake

    Hii ndio picha ya mwisho ya Vladimir Lenin, aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa Muungano wa usovieti, U.S.S.R. Mwaka 1923, Lenin alipata tatizo la kupooza na kupoteza uwezo wake wa kuongea. Hatimaye tarehe 21 January 1924 alifariki dunia. Baada ya kufariki, Joseph Stalin alichukua madaraka...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu majukumu ya Kitchen Cabinet na jinsi inavyomsaidia Rais wa nchi katika shughuli zake

    Kitchen cabinet au "Baraza la jikoni" la rais ni kundi dogo lisilo rasmi la washauri wanaoaminika ambao hutoa ushauri na mwongozo kuhusu masuala mbalimbali, mara nyingi nje ya mifumo rasmi ya serikali. Watu hawa mara nyingi ni marafiki wa karibu, wafuasi waaminifu, au watu waliokaribu na rais...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Fahamu tunda aina ya Durian.

    Miaka ya 90 Kijijini Sengerema tulikuwa na kawaida ya kwenda kuwasalimia na kuwapa hai wazee, tukifunga shule basi kesho yake asubuhi ni safari kwenda kijijini kusalimia, na kuishi kidogo na Babu na Bibi. Maisha ya kijiji yaikuwa mazuri sana kwa kiasi chake, hakuna umeme, na ikifika saa 2 kila...
Back
Top Bottom