Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana ๐Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! ๐ฑ๐ฐ๏ธ
Kati ya Septemba 15โ16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi...