Habari za usiku wakuu, samahani Nina shida kule Ali express.Nimeshaagiza mizigo mara kadhaa na ikafika yote.Ila Nina kama mwaka sijaagiza,juzi nikaagiza sasa ninaona Kuna kuna kitu kipya sikuwahi kukiona kabla.
Kuna Hawa wanajiita MailAmericas wamenitumia msg kwny email na Whatsapp yangu...