ethiopia

  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
  2. JamiiForums Tanzania Ethiopia yamuachia Jenerali Mamo kwa dhamana

    Aliyekuwa Jenerali wa jeshi la Ethiopia ambaye alikamatwa katika oparesheni ya kutekeleza sheria, mnamo mwezi uliopita, kwa kuwa polisi walimshuku kwa kujaribu kutengua utaratibu wa kikatiba nchini humo, ameachiliwa kwa dhamana. Jenerali Teferra alikuwa kamanda wa kikosi maalum cha Amhara...
  3. JamiiForums Tanzania Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
  4. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa Ethiopia apongeza kampuni za China kwa kutekeleza majukumu ya kijamii

    Serikali ya Ethiopia imepongeza kampuni za China kwa juhudi zao za kutekeleza majukumu ya kijamii nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa na naibu meya wa Addis Ababa Bw. Yasmin Wohabrebbi kwenye hafla ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Mekanisa Abo. Mradi huu umefadhiliwa na kujengwa na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ethiopia lasema washukiwa 233 wa uasi wajisalimisha

    Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Ethiopia (ENDF) limesema kuwa washukiwa 233 wa uasi kutoka kikosi cha ukombozi wa Oromo (OLA) wamejisalimisha katika siku za karibuni. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ENDF limesema, washukiwa wengine watano wa uasi wa OLA wamekamatwa na wengine 44...
  7. JamiiForums Tanzania Ethiopia yazindua Huduma ya Mtandao ya 5G

    Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Simu inayomilikiwa na serikali nchini Ethiopia, Mei 9 ilizindua huduma ya simu za mkononi ya 5G na kuifanya nchi hiyobkuwa miongoni mwa nchi chache zenye huduma hiyo barani Afrika, ikiwa ni pamoja na Kenya katika Afrika Mashariki, Mkurugenzi Mtendaji wa Ethio...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kengen completes drilling seven geothermal wells in Ethiopia

    Electricity producer KenGen has completed the drilling of seven geothermal wells in Ethiopia, four at the Aluto-Langano site and three at Tule Moye. In February 2019, KenGen in a consortium with Shandong Kerui Petroleum Equipment Company and Shandong Kerui Oilfield Service Group won a joint...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia moves to allow entry of Kenyan banks

    Ethiopia has constituted a committee to liberalise the banking sector, taking a major step in opening the door for Kenyan lenders such as KCB Group to set up operations in the populous nation. The committee has already started work to amend Ethiopia’s half-a-century old financial code, local...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom inks first infrastructure deal with Ethiopia

    Safaricom, the newest telecom operator in Ethiopia, has signed a five-year lease agreement with state-owned power utility to share dark fiber-optic infrastructure in the Horn of African nation, the first infrastructure deal with Ethiopia. The agreement was signed between Mr Ashebir Balcha, CEO...
  11. JamiiForums Tanzania Waafrika yatupasa kuiangalia vita ya Ethiopia kuliko vita ya Ukraine

    Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe. Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

    Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko.... Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kufungua milango kwa ajili ya KCB na Equity - yaani watu milioni 110

    Tushindwe wenyewe....yaani Wakenya tuna subira mithili ya chui, tunanyatia nyatia na kusogelea na kupiga mahesabu ya mbali, ila pale tutachomoka huwa hatukosei maana lazima meno yang'ate kwenye shingo. DRC na ukanda wote wa EAC upo kwapani tayari, hawa Wahabeshi ndio walikua mfupa uliomshinda...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifua mbele - Safaricom sets up first data centre in Ethiopia

    Safaricom has unveiled its first China-assembled data centre in Addis Ababa as it gears up to launch its commercial operations in Ethiopia. Built for $100 million, the facility was deployed less than a year after the consortium led by Safaricom, South Africa's Vodacom and Japan's Sumitomo was...
  15. JamiiForums Tanzania Rasmi Ethiopia waanza kufua umeme kutoka Mto Nile, Nchi jirani zakasirika

    Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile. Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo wa kikanda tangu kuanza kwa ujenzi wake muongo mmoja uliopita. Mataifa jirani ya Ethiopia, Misri na...
  16. JamiiForums Tanzania WHO yapata idhini ya kusambaza vifaa vya matibabu Tigray

    Shirika la afya ulimwenguni WHO limepata kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miezi sita, lakini uhaba wa mafuta bado unakwamisha zoezi hilo. Mkurugenzi wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Wafungwa wapatao 130 watoroka jela nchini Ethiopia

    Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado hawajapatikana. Kwa jumla, wafungwa 130 walitoroka jela katika mji wa Nefas Mewcha katika eneo la Amhara. Walisaidiwa na wale wanaodai kuwa wanachama wa wanamgambo wa Fano ambao wamekuwa wakipigana...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Milioni 13 wakabiliwa na njaa Kenya, Somalia na Ethiopia

    Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema...
  19. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Takriban 40% ya Wakazi wa Tigray wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya Njaa Kaskazini mwa Nchi hiyo ikielezwa zaidi ya 80% ya Familia hazina uhakika wa chakula, hali inayopelekea Watoto chini ya miaka mitano kuwa na Utapiamlo. Mashirika ya Misaada yamekuwa yakipata changamoto kufikisha mahitaji Mkoa wa Tigray ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania Ethiopia kuondoa Hali ya Dharura iliyowekwa baada ya Vikosi vya Tigray kutishia kwenda Addis Ababa

    Serikali imeridhia kuondolewa Hali ya Dharura ya miezi sita iliyowekwa Novemba 2021 baada ya Vikosi kutoka Tigray kusema vilikuwa vinaelekea Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa Mwezi Desemba, Mamlaka zilisema Jeshi lilikuwa linaondoa Vikosi vya Tigray katika Mikoa ya Amhara na Afar. Waziri Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…