ethiopia

  1. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  2. JamiiForums Tanzania Sishangai stars kutoka Suluhu na Ethiopia

    Kwa tunaofatilia haya mashindano utaona team ndogo zimekuja na mkakati wa kuzikamia team kubwa Hii ilianzia kwenye AFCON pale Ivory coast na naona inaendelea hivyo hivyo ambapo team Giants Afrika ikiwemo Taifa Stars chini ya manguli Mgunda na Moroco zimekutana na ukamiaji huo. Ila naamini...
  3. JamiiForums Tanzania Afcon Qualification 2025: Ethiopia Vs DR Congo | Benjamin Mkapa Stadium | 09.09.2024

    Game ya Kwa Mkapa hii VIKOSI VINAVYOANZA LEO
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa Ethiopia ni imara, kutoa sare, Taifa stars ijipongeze

    Watanzania wengi wamekariri Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team. Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
  5. JamiiForums Tanzania Poleni sana watanzania kwa matokeo mliyoyapa jana zidi ya ETHIOPIA

    Sio kitu rahisi kuamini ili ilikuwa ni dua zangu kwenye mkeka wangu. Ambaye mpaka sasa hivi kabakia Algeria naombeni ushauri wa mikeka je ni cashout?
  6. JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers

    Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police Bullets (Kenya) Yei Joint FC (South Sudan) Simba Queens (Tanzania) PVP Buyenzi (Burundi) Kawempe...
  8. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu mgogoro wa Ethiopia??

    Ethiopia Serikali ya Ethiopia bado haijapona. Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙 Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara. Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia...
  9. JamiiForums Tanzania Mchambuzi anasema Eritrea ina jeshi lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika Mashariki, ukiitoa Ethiopia

    Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia Nini maoni yako👇🏾 https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
  10. JamiiForums Tanzania Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  11. JamiiForums Tanzania kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

    Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki. Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

    Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili. Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula kupandishwa ndege kusafirishwa kuelekea kwenda Joburg (Johannesburg) Afrika Kusini. Nendeni...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati uchumi wa Tanzania ukitegemea zaidi Kilimo ulipita wa Kenya na Ethiopia

    Ni muda wa kurudia misingi ya zamani. Ardhi kubwa yenye rutuba ipo.
  14. JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  16. JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
  17. JamiiForums Tanzania Benki ya Ethiopia yawataka waliochota fedha ATM baada ya mtandao kuharibika warudishe

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  20. JamiiForums Tanzania Neno kwa Rais wa Ethiopia

    Mheshimiwa Rais karibu sana nchini kwetu. Nchi yako imepitia migogoro mingi sana ya ndani na mingine na nchi jirani. Naomba tafakari na fuata utaratibu unaofaa juu ya kupata eneo la bandari kule somaliland. Ufahamu kuwa somaliland sio nchi bali ni sehemu ya Somalia 🇸🇴.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…