Mimi ni mojawapo ya mtumishi ambae nimeathiriwa na mfumo huu wa ESS katika upandishaji wa madaraja.
Nimejaribu kufatilia je, ni sehemu gani sijaenda sawa hata sioni ninaandaa azimio la kazi ninaandaa andalio la somo ninasaini log book. Ninaandaa zana za kufundishia, ninasaini class journal...