Python Vs PHP Ipi inanifaa ? (All beginner's questions) Episode 1

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
1,070
2,299
Hello Tech members

Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X
Au kati ya Framework Y na Framework X?"

Kwa beginner, hii ni dilemma ambayo hana hakika njia ipi ni salama au sahihi kwake

Kwenye Web programming,hata wakati naanza kujifunza hili swali lilikua linanitesa sana
Kati ya Python na PHP ipi nijifunze, au ipi inafaa kutumika kwenye Web Programming

Ku make story short.........Kwa mda sasa Natumia PHP kama backend language kwa Project yoyote ya Client wangu
So kama bado wewe ni beginner na unataka kuwa Web au App developer, ila huna hakika ni Language ipi utumie kati ya hizo

Huu ni ushauri wangu
Ukiwa katika Dilemma yoyote ya namna hii kwenye Programming, kumbuka kwanza kitu kimoja

Programming Language is just a tool
Program yoyote iliyoandikwa kwenye Language fulani,inaweza kuandikwa kwenye Language nyingine (Ignore Runtime, Memory usage au Urahisi wa kuiandika)
So hakuna kitu Special kwenye Python ambacho hakipo kwenye PHP

So Program yoyote ile unayoweza kuifikiria, au Algorithm yoyote iliyowahi kuandikwa inaweza kuandikwa kwenye Language yoyote ile
Hii concept kwenye Computer Science, tunaita Turing Completeness

Tuje kwenye Swali la msingi, Kwanini Nimechagua PHP badala ya Python

  1. Market Share
    80% ya websites zote duniani zimeandikwa kwa kutumia PHP
    All major web servers zina support PHP
    Hii maana yake nini? ni kwamba kuna chance kubwa ya kumpata Client anayetafuta PHP Developer kuliko Client anayetafuta Python Developer

    Wordpress, ambayo ni popular Content Management System imeandikwa kwa kutumia PHP
    So kwa urahisi wa kupata Client au Ajira, PHP kwangu ni winner

  2. Community
    Hapa sina haja ya kuandika sana,PHP ina Community kubwa kuliko Python
    Hii maana yake ni nini? ni rahisi sana kupata Solution ya codes za PHP kuliko Python pale unapo kwama

  3. Framework
    Python ni rahisi, ina elegant syntax zinazopendeza kuliko PHP lakini nilipojifunza Django ambayo ni popular Web Framework
    Kwa Python Developer I have to admit, sikuipenda
    Haina Developer Experience nzuri niki compare na Laravel
    To be honest, zijaona mpaka sasa Framework yenye Pattern na Structure inayoeleweka kama Laravel

  4. Speed
    PHP imepitia Modifications nyingi mpaka kufikia sasa (PHP 8)
    Na hizo modifications zime boost sana Speed ya PHP
    Kitu ambacho ni nadra sana kwa Python developer ku kwambia ni kwamba, speed ya PHP ( kwanzia version 7)
    Ni mara tatu ya Python
    Means Project yoyote iliyoandikwa kwa PHP ina run mara tatu haraka ya Project yoyote ya Python
    Just chukua Algorithm yoyote, mfano Bubble sort (ambayo ni very slow) then implement kwenye language zote uone tofauti kwenye
    Performance
    PHP Vs Python.PNG

Mwisho tambua kuwa PHP na Javascript ni languages mbovu in terms of Design ila cha muhimu sio hicho
Python ni nzuri in terms of Syntax na design ila cha muhimu sio hiki pia

Unaweza kuandika Codes mbaya kwenye Python vile vile unaweza andika Codes nzuri kwenye PHP,issue ni Mindset

Kwa ushauri kuhusu Tech,au Web development
Contact : 0748333586
website in php.PNG

Credit kwa kaka Stefano Mtangoo
Hivi ni baadhi ya vitu unique kuhusu Python ambavyo sikua navijua before sijajua kwa PHP

Hivi ni baadhi ya vitu Python inavyo ila PHP haina
1. PHP haiwezi kuwa embeded kwenye C++ na pia kui plug Python kwenye C++ haiwezekani. Unaweza kuandika C extension ya PHP na kui register kwenye ini but ni process tedious kuliko kutumia Python. Python ilitengenezwa ikiwa na extensibility upfront!

2. PHP haiwezi kutumika kwenye data analysis. Sio kwa sababu hiwezi kufanywa ikawa, ila from design PoV haikuwa designed kwa ajili hiyo. Hakuna libraries na tools za kufanya extensive data analysis kama Python na Py tayari ni de-facto kwenye data science.

3. PHP Haiwezi kutengeneza purely Desktop app. Unaweza kufinyanga PHP ikatoa desktop app kama wxPHP au PHPGTK lakini Python inafanya hili kwa urahisi. Hii ni kutokana na architect za Interpreters ambapo ni rahisi ku ship Py interpreter kuliko PHP interpreter, Plus PHP itahitaji container server.

Haya ni baadhi ambayo PHP haiwezi kufanya. Of course Py ina yake ambayo haiwezi kufanya au ni ngumu kufanya ilhali kwa PHP ni
breeze!

Kuhusu Speed ya PHP Vs Python
 
Asee kwenye point ya community naomba nikupinge kidogo

Ukifanya tafiti nyepesi ktk dev community kuanzia youtube, quora, insta,twitter utagundua kuwa kwa sasa python ina watu wengi(i.e wanaojifunza na wanaofundisha)

Sababu mara nyingi kwanini python inapendwa kuliko php au lugha nyingine utakutana na swala la urahisi wa syntax yake,binafsi sijasoma python ila nimefanya php college coz ndo kama lugha vyuo vingi wanafundisha ila ukisikiliza developers wengi wa kwenye mtandao wanarecommend python wakida ni beginner friendly mpaka imefika hatua kwa sababu ya wepesi wa syntax yake imekuwa lugha inayofata baada ya HTML(i.e not programming language) kwa wepesi kulingana na maoni ya wengi

kuhitimisha nakubaliana na wewe kuwa issue sio language ipi nyepesi au ugumu ila kikubwa ni product gani unataka kutoa then hiyo ndo inaweza kupa ni tool gan utembee nayo. Ila ukweli ni kuwa PHP ni king katika web I guess hata JF backend PHP imehusika
 
Mi nadhani kila language ina mahala pake ambapo ni best sidhani kama inahitaji ushindani

Unatumila language flani kutokana na task husika
Mf Python naona ni Best kwenye maswala ya Data Science , Blockchain na AI

PHP ni nzuri sana kwa web development ni simple na community yake ni kubwa

Python with Django imekua popular kwenye web sababu earlier version za php hazikua that secure while py ili do the job

Kwahyo mi naona py ni giant kwneye maswala ya data science

PHP ni still giant kwenye web

Android na java / kotlin
iOS na Swift

Frontend JS (React/Angular)
 
Hello Tech members
Hi!
Programming Language is just a tool
Program yoyote iliyoandikwa kwenye Language fulani,inaweza kuandikwa kwenye Language nyingine (Ignore Runtime, Memory usage au Urahisi wa kuiandika)
So hakuna kitu Special kwenye Python ambacho hakipo kwenye PHP
Vipo vingi boss. Possibly kwa sababu hujawahi zitumia zote kupata ulinganifu sahihi.
Hivi ni baadhi ya vitu Python inavyo ila PHP haina
1. PHP haiwezi kuwa embeded kwenye C++ na pia kui plug Python kwenye C++ haiwezekani. Unaweza kuandika C extension ya PHP na kui register kwenye ini but ni process tedious kuliko kutumia Python. Python ilitengenezwa ikiwa na extensibility upfront!

2. PHP haiwezi kutumika kwenye data analysis. Sio kwa sababu hiwezi kufanywa ikawa, ila from design PoV haikuwa designed kwa ajili hiyo. Hakuna libraries na tools za kufanya extensive data analysis kama Python na Py tayari ni de-facto kwenye data science.

3. PHP Haiwezi kutengeneza purely Desktop app. Unaweza kufinyanga PHP ikatoa desktop app kama wxPHP au PHPGTK lakini Python inafanya hili kwa urahisi. Hii ni kutokana na architect za Interpreters ambapo ni rahisi ku ship Py interpreter kuliko PHP interpreter, Plus PHP itahitaji container server.

Haya ni baadhi ambayo PHP haiwezi kufanya. Of course Py ina yake ambayo haiwezi kufanya au ni ngumu kufanya ilhali kwa PHP ni breeze!

Tuje kwenye Swali la msingi, Kwanini Nimechagua PHP badala ya Python

1. Market Share
80% ya websites zote duniani zimeandikwa kwa kutumia PHP
All major web servers zina support PHP
Hii maana yake nini? ni kwamba kuna chance kubwa ya kumpata Client anayetafuta PHP Developer kuliko Client anayetafuta Python Developer
I agree! kwenye Web market PHP ina dominate. However for completeness sake, yeyote atakayeamua kuingia huko ajue plain PHP haitamlipa. Kazi nyingi zinahitaji uwe unajua specific framework kwa sababu kuandika plain PHP code ni time consuming plus ni rahisi kufanya makosa ukiwa solo kuliko kutumia framework ambayo imekuwa scrutinized na maelfu ya macho.

2. Community
Hapa sina haja ya kuandika sana,PHP ina Community kubwa kuliko Python
Hii maana yake ni nini? ni rahisi sana kupata Solution ya codes za PHP kuliko Python pale unapo kwama
PHP na Python zote zina Jamii kubwa sana na ni rahisi kupata msaada simply kwa sababu ni lugha zimekuwepo kitambo. However ni vigumu kusema huyu ana jamii kubwa kuliko huyu. Kwa sababu ni vigumu sana kuja na metric.

3. Framework
Python ni rahisi, ina elegant syntax zinazopendeza kuliko PHP lakini nilipojifunza Django ambayo ni popular Web Framework
Kwa Python Developer I have to admit, sikuipenda Haina Developer Experience nzuri niki compare na Laravel
To be honest, zijaona mpaka sasa Framework yenye Pattern na Structure inayoeleweka kama Laravel
Nikiri pia sikuipenda Django those days but nadhani kwa sababu kwanza nilikuwa najifunza mwenyewe so nilikosa basics nyingi za ku deal na framework ambayo ilikuwa na configurations nyingi. Pili ilikuwa changa na laternative at that moment ilikuwa Web.py ambayo pia sikuipenda. Ilikuwa ni matter of taste/preferences. Sijaicheck hivi karibuni so sina comment on this!

Lakini kuna apps najua zimejengwa na Flask. Najua flask sio equivalent ya Laravel lakini kwenye REST api ni competitors. Hata hivyo sijaitumia flask so bado pia sina comment!

4. Speed
PHP imepitia Modifications nyingi mpaka kufikia sasa (PHP 8) Na hizo modifications zime boost sana Speed ya PHP
Kitu ambacho ni nadra sana kwa Python developer ku kwambia ni kwamba, speed ya PHP ( kwanzia version 7)
Ni mara tatu ya Python
Means Project yoyote iliyoandikwa kwa PHP ina run mara tatu haraka ya Project yoyote ya Python
Just chukua Algorithm yoyote, mfano Bubble sort (ambayo ni very slow) then implement kwenye language zote uone tofauti kwenye
Performance
Hii benchmark ya google screenshot sijaikubali kabisa. Nadhani ukipata muda ufanye benchmark, uje na real data za kwako, then tutaziamini.
But architecture-wise sioni kama kutakuwa na difference kubwa kiasi hicho haswa kama Python JIT compiler imetumiaka. Further more, Python inaweza kuwa extended na C/C++ which means kwa wale wanahitaji that much speed wanaweza kuandika code zinakimbia kuliko PHP.

Ila bado ningependa kuona benchmark ya same algo ikikimbia kwenye latest PHP na Python bila JIT!

Mwisho tambua kuwa PHP na Javascript ni languages mbovu in terms of Design ila cha muhimu sio hicho
Python ni nzuri in terms of Syntax na design ila cha muhimu sio hiki pia
Sijaelewa hapa design unamaanisha nini. Ukiweka maelezo kidogo itafaa kuiweka clear!

Unaweza kuandika Codes mbaya kwenye Python vile vile unaweza andika Codes nzuri kwenye PHP,issue ni Mindset
Kuandika code zenye mpangilio mbaya tatizo ni kujifunza toka kwa mwalimu mbaya. Wengi chuo hawajifunzi cha maana na wakiingia mtaani huziruka basics na kujifunza tabia mbaya ambazo huchukua muda kujifunza. Pia tabia ya beginners kukwepa kufanya contribution huwapunguzia uwezo wa ku adopt coding standards. So sio mindset tu pekee bali pia na ukosefu wa mafunzo na tabia mbaya..!

Kwa ushauri kuhusu Tech,au Web development
Contact : 0748333586
Ahsante kwa kuanzisha mjadala mzuri. Ni muda sasa humu kumekosekana mijadala solid kama huu!
 
Ukifanya tafiti nyepesi ktk dev community kuanzia youtube, quora, insta,twitter utagundua kuwa kwa sasa python ina watu wengi(i.e wanaojifunza na wanaofundisha)
Unaweza ku quantify hii statement na namba? Wangapi wako kwenye PHP na Wangapi Python?

Sababu mara nyingi kwanini python inapendwa kuliko php au lugha nyingine utakutana na swala la urahisi wa syntax yake,binafsi sijasoma python ila nimefanya php college coz ndo kama lugha vyuo vingi wanafundisha
Hakuna namna ya kujua Python inapendwa kuliko PHP. Ni vigumu sana kwa sababu hakuna collected statistics.

ila ukisikiliza developers wengi wa kwenye mtandao wanarecommend python wakida ni beginner friendly mpaka imefika hatua kwa sababu ya wepesi wa syntax yake
Hapa kuna misconception.
Syntax ya Py sio nyepesi hata. Kuandika if statement kwenye Python na PHP
Code:
if($x == 2)
   {
echo 'it Works';
}

Code:
if $x == 2:
echo 'it Works';

Hapo PHP itafanya kazi ila Python hola! Python iko so strict na ni unnatural kwa watu wengi ambao wana background ya C-Like languages. Hii inaifanya isiwe beginner friendly since dominant languages ni C-Like.

Ila Python inapendwa mashuleni kwa strict syntax yake ambayo inaifanya iwe nzuri kufundishia discipline kwa wanafunzi na beginners. Once ukiitumia Python, kuandika code vizuri inakuwa sehemu ya maisha yako. Pili ukiisha ielewa vyema unaweza kuandika code fupi. Plus ina modules za kutosha!

kuhitimisha nakubaliana na wewe kuwa issue sio language ipi nyepesi au ugumu ila kikubwa ni product gani unataka kutoa then hiyo ndo inaweza kupa ni tool gan utembee nayo.
Yeah, that is the bottom line. Right tool for the right Job. When two languages does the same thing, the key is preference!
 
Unaweza ku quantify hii statement na namba? Wangapi wako kwenye PHP na Wangapi Python?
Juu ya namba siwezi kuwa na uhakika ila I guess last year survey on stackoverflow zinaonyesha py ina pendwa kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na php.

Survey yao imehusisha namba nzuri ya developers kutoka Africa,America,Europe and Asia na matokeo yanaonesha py ina about 66% while php ina around 37%

Sio hilo tu naomba ukipata muda jaribu kupitia developers hawa kwenye channel zao youtube I guess wanaweza kuback up hichi nachosema mcheki jamaa anaitwa "Traversy Media" nadhani kuna clip kibao kajibu hili swali. Ni developer mzur which is why I recommend him,again tembelea freecodecamp.org angalia walivyocover content za php na py then linganisha

Moreover, am not trying to pursuade you or asking you to change your mind ila najaribu kuongelea maoni ya developers wengi wanavyosema juu ya swala la py na php

Binafsi ukiniulza mimi ntakwambia hakuna lugha ngumu au nyepesi ila ni uwezo wako wakufanya mazoezi ktk lugha husika na kusolve challenge coz i remember being told that C++ is tough but to me I don't see such thing in cpp.
 
Survey ya SO inaweza kuwa indicative lakini haiwezi kuwa conclusive. Kuna developers wengi tukiwemo members wa SO huwa hatushiriki hizo survey. So kujua devs wanapenda nini ni ngumu sana. Na bila definitive numbers ni vigumu kuwa na definitive answer.

Survey yao imehusisha namba nzuri ya developers kutoka Africa,America,Europe and Asia na matokeo yanaonesha py ina about 66% while php ina around 37%
Ni maoni mazuri, na ya faida kutoa rough figures. Lakini sio definitive. Devs wengi sio watu wa survey. Ni wavivu mno. So mostly wanakuwa hawako included!

Sio hilo tu naomba ukipata muda jaribu kupitia developers hawa kwenye channel zao youtube I guess wanaweza kuback up hichi nachosema mcheki jamaa anaitwa "Traversy Media" nadhani kuna clip kibao kajibu hili swali. Ni developer mzur which is why I recommend him,again tembelea freecodecamp.org angalia walivyocover content za php na py then linganisha
Naheshimu developers wengine na mawazo yao, ikiwemo ya kwako. Ila naongelea kwa uzoefu. Nimefanya kazi na language na PHP na Python, na nimefundisha zote mibili. Hivyo naamini naweza kutoa maoni yangu ambayo ni valid sawa na huyu ndugu!

Isingekuwa sheria yetu ya kuminya YT possibly ningetengeneza some videos, ila ndio hivyo tena!
Moreover, am not trying to pursuade you or asking you to change your mind ila najaribu kuongelea maoni ya developers wengi wanavyosema juu ya swala la py na php
Hakuna tatizo na maoni yako. Wala sio vibaya kuyatoa!
Binafsi ukiniulza mimi ntakwambia hakuna lugha ngumu au nyepesi ila ni uwezo wako wakufanya mazoezi ktk lugha husika na kusolve challenge coz i remember being told that C++ is tough but to me I don't see such thing in cpp.
Niko interested kujua umefanya projects na languages ngapi kuweza kutoa hii conclusion. C++ ulifanya mpaka wapi? Kwa sababu I have developed whole IDE with C++ na najua C++ beyond basics, sio for faint hearted. Huwezi kusema C++ inalingana sawa na Java au Python kama umefanya nayo kazi. C++ is a beast!

Kiufupi lugha zote hazifanani kwa urahisi/ugumu! Zipo lugha ni rahisi kujifunza na kuna lugha zinachukua muda na zina heaches nyingi sana along the way!
 
Niko interested kujua umefanya projects na languages ngapi kuweza kutoa hii conclusion. C++ ulifanya mpaka wapi? Kwa sababu I have developed whole IDE with C++ na najua C++ beyond basics, sio for faint hearted. Huwezi kusema C++ inalingana sawa na Java au Python kama umefanya nayo kazi. C++ is a beast!

Kiufupi lugha zote hazifanani kwa urahisi/ugumu! Zipo lugha ni rahisi kujifunza na kuna lugha zinachukua muda na zina heaches nyingi sana along the way
Project ambayo naweza sema mpaka sasa najivunia japo haijakamilika and still iko locally hosted ni issues ya ukataji tiketi wa mabus online ambapo client anaweza supply information zake then after that akapewa list ya magari kulingana na route, again kila bus linakuwa linadisplay number of seats available(i.e keep changing depending on the number of passengers booked and when no seat available the system disable a given bus on that particular day)

Juu ya lugha ambazo naweza ila sio master ni (HTML,CSS) JavaScript, php and sql*(i.e atleast I can do something meaningful when i combine these technologies)

Kuhusu cpp nimeifanya time ya college and still napokuwa home nafanya japo naona inakuwa nzur kama mtu anainterest na kudeal na embeded systems which is not my interest na kuhusu kwenye cpp nimefanya mpaka level ipi I guess mpaka kwenye OOPS

Kwasasa na deal na Js make kila ninapotaka kujifanya nimeimaster ndo najikuta ndo kwanza kabisa sijafanya kitu and that's me and all I have in programming
 
Sio hatua ndogo ila bado una safari kidogo kuweza kuongea with authority.
Haya mambo kadri unavyokwenda juu unagundua kuna mengi sana ambayo huwezi kuyajua kwa nadharia ama kusikia. Unayaelewa kwa uzuri kwa kuwa na personal experience!
 
Asee kwenye point ya community naomba nikupinge kidogo

Ukifanya tafiti nyepesi ktk dev community kuanzia youtube, quora, insta,twitter utagundua kuwa kwa sasa python ina watu wengi(i.e wanaojifunza na wanaofundisha)

Sababu mara nyingi kwanini python inapendwa kuliko php au lugha nyingine utakutana na swala la urahisi wa syntax yake,binafsi sijasoma python ila nimefanya php college coz ndo kama lugha vyuo vingi wanafundisha ila ukisikiliza developers wengi wa kwenye mtandao wanarecommend python wakida ni beginner friendly mpaka imefika hatua kwa sababu ya wepesi wa syntax yake imekuwa lugha inayofata baada ya HTML(i.e not programming language) kwa wepesi kulingana na maoni ya wengi

kuhitimisha nakubaliana na wewe kuwa issue sio language ipi nyepesi au ugumu ila kikubwa ni product gani unataka kutoa then hiyo ndo inaweza kupa ni tool gan utembee nayo. Ila ukweli ni kuwa PHP ni king katika web I guess hata JF backend PHP imehusika
Clean design na syntax ya Python ndio inayofanya iwe introductory language kwa beginners wengi

Lakini unapo anza kufanya real world projects inabidi utazame vitu vingi apart from syntax

Nisieleweke vibaya, sijalenga kuibeza Python
Python ni far much better kuliko PHP, kwenye Design na Syntax

Lakini kwa factor hapo juu, haswa kwenye web development
Ni busara ku pick kwangu kwenda na PHP
 
So hakuna kitu Special kwenye Python ambacho hakipo kwenye PHP!!

jaribu tumia AI,Machine learning,Data science kwenye php halafu utupe mrejesho....
Narudia tena hakuna kitu ambacho Python inaweza fanya na kisiwezekane kwenye languages nyingine

Sio tu Python, chochote kinachowezwa fanya na Programming language yoyote ile kinaweza fanywa na language nyingine

Kwa sababu almost modern programming languages zote ni Turing Complete

So, labda inawezekana hujachimba zaidi
Asilimia 98 au 99 ya Libraries na Frameworks zote za Machine Learning na AI zimeandikwa kwa kutumia C na C ++

Hii ina maana gani?
Python inawekwa pale juu kama Scripting language

So unaweza hisi una program Machine Learning Model au AI program yako kwa kutumia Python ila kiuhalisia unacho fanya ni Ku run Python commands ambazo zinawasiliana na hizo C au C++ programs nyuma ya pazia

Scripting language inaweza kuwa yoyote ile lakini elegant syntax za Python zimefanya iwe choice nzuri sana kwa AI na ML

Javascript inaweza tumika kama Scripting language pia
Refer tensorflow.js

PHP vile vile, sasa tatizo ni kwamba hakuna mpaka sasa Package za Machine learning ambazo zimetumia PHP kama scripting language

Ilikuepe PHP-ML lakini hakuna anayei maintain mpaka sasa
 
Hi!

Vipo vingi boss. Possibly kwa sababu hujawahi zitumia zote kupata ulinganifu sahihi.
Hivi ni baadhi ya vitu Python inavyo ila PHP haina
1. PHP haiwezi kuwa embeded kwenye C++ na pia kui plug Python kwenye C++ haiwezekani. Unaweza kuandika C extension ya PHP na kui register kwenye ini but ni process tedious kuliko kutumia Python. Python ilitengenezwa ikiwa na extensibility upfront!

2. PHP haiwezi kutumika kwenye data analysis. Sio kwa sababu hiwezi kufanywa ikawa, ila from design PoV haikuwa designed kwa ajili hiyo. Hakuna libraries na tools za kufanya extensive data analysis kama Python na Py tayari ni de-facto kwenye data science.

3. PHP Haiwezi kutengeneza purely Desktop app. Unaweza kufinyanga PHP ikatoa desktop app kama wxPHP au PHPGTK lakini Python inafanya hili kwa urahisi. Hii ni kutokana na architect za Interpreters ambapo ni rahisi ku ship Py interpreter kuliko PHP interpreter, Plus PHP itahitaji container server.

Haya ni baadhi ambayo PHP haiwezi kufanya. Of course Py ina yake ambayo haiwezi kufanya au ni ngumu kufanya ilhali kwa PHP ni breeze!

I agree! kwenye Web market PHP ina dominate. However for completeness sake, yeyote atakayeamua kuingia huko ajue plain PHP haitamlipa. Kazi nyingi zinahitaji uwe unajua specific framework kwa sababu kuandika plain PHP code ni time consuming plus ni rahisi kufanya makosa ukiwa solo kuliko kutumia framework ambayo imekuwa scrutinized na maelfu ya macho.

PHP na Python zote zina Jamii kubwa sana na ni rahisi kupata msaada simply kwa sababu ni lugha zimekuwepo kitambo. However ni vigumu kusema huyu ana jamii kubwa kuliko huyu. Kwa sababu ni vigumu sana kuja na metric.

Nikiri pia sikuipenda Django those days but nadhani kwa sababu kwanza nilikuwa najifunza mwenyewe so nilikosa basics nyingi za ku deal na framework ambayo ilikuwa na configurations nyingi. Pili ilikuwa changa na laternative at that moment ilikuwa Web.py ambayo pia sikuipenda. Ilikuwa ni matter of taste/preferences. Sijaicheck hivi karibuni so sina comment on this!

Lakini kuna apps najua zimejengwa na Flask. Najua flask sio equivalent ya Laravel lakini kwenye REST api ni competitors. Hata hivyo sijaitumia flask so bado pia sina comment!

Hii benchmark ya google screenshot sijaikubali kabisa. Nadhani ukipata muda ufanye benchmark, uje na real data za kwako, then tutaziamini.
But architecture-wise sioni kama kutakuwa na difference kubwa kiasi hicho haswa kama Python JIT compiler imetumiaka. Further more, Python inaweza kuwa extended na C/C++ which means kwa wale wanahitaji that much speed wanaweza kuandika code zinakimbia kuliko PHP.

Ila bado ningependa kuona benchmark ya same algo ikikimbia kwenye latest PHP na Python bila JIT!

Sijaelewa hapa design unamaanisha nini. Ukiweka maelezo kidogo itafaa kuiweka clear!

Kuandika code zenye mpangilio mbaya tatizo ni kujifunza toka kwa mwalimu mbaya. Wengi chuo hawajifunzi cha maana na wakiingia mtaani huziruka basics na kujifunza tabia mbaya ambazo huchukua muda kujifunza. Pia tabia ya beginners kukwepa kufanya contribution huwapunguzia uwezo wa ku adopt coding standards. So sio mindset tu pekee bali pia na ukosefu wa mafunzo na tabia mbaya..!

Ahsante kwa kuanzisha mjadala mzuri. Ni muda sasa humu kumekosekana mijadala solid kama huu!
Hapo kwenye Design

PHP haiku lengwa kuwa New Programming Language,ilikua just scripting tool kwa webserver
Baada ya kuwa popular, Rasmus akashawishika kuifanya iwe Programming language kipindi amacho yeye mwenyewe halikua hajua
nuts and bots za ku design Programming language
So nikitu alichojifunza huku anafanya

Kwa Python, ilikua more calculated
Ililengwa kuwa general purpose language tangu kuzaliwa kwake

As for Javascript, ilitengenezwa haraka haraka kuwahi deadline ndani ya wiki moja au siku 10

Ime miss vitu vingi kwenye language design,Thanks kwa sasa
NZamani nadhani kila browser ilikua ina interpret Js kivyake
Note: Mimi sio expert kwenye language design, ila na atleast nimefanya utafiti wangu mdogo plus maoni kadhaa ya experienced developers
 
Hello Tech members

Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X
Au kati ya Framework Y na Framework X?"

Kwa beginner, hii ni dilemma ambayo hana hakika njia ipi ni salama au sahihi kwake

Kwenye Web programming,hata wakati naanza kujifunza hili swali lilikua linanitesa sana
Kati ya Python na PHP ipi nijifunze, au ipi inafaa kutumika kwenye Web Programming

Ku make story short.........Kwa mda sasa Natumia PHP kama backend language kwa Project yoyote ya Client wangu
So kama bado wewe ni beginner na unataka kuwa Web au App developer, ila huna hakika ni Language ipi utumie kati ya hizo

Huu ni ushauri wangu
Ukiwa katika Dilemma yoyote ya namna hii kwenye Programming, kumbuka kwanza kitu kimoja

Programming Language is just a tool
Program yoyote iliyoandikwa kwenye Language fulani,inaweza kuandikwa kwenye Language nyingine (Ignore Runtime, Memory usage au Urahisi wa kuiandika)
So hakuna kitu Special kwenye Python ambacho hakipo kwenye PHP

So Program yoyote ile unayoweza kuifikiria, au Algorithm yoyote iliyowahi kuandikwa inaweza kuandikwa kwenye Language yoyote ile
Hii concept kwenye Computer Science, tunaita Turing Completeness

Tuje kwenye Swali la msingi, Kwanini Nimechagua PHP badala ya Python

  1. Market Share
    80% ya websites zote duniani zimeandikwa kwa kutumia PHP
    All major web servers zina support PHP
    Hii maana yake nini? ni kwamba kuna chance kubwa ya kumpata Client anayetafuta PHP Developer kuliko Client anayetafuta Python Developer

    Wordpress, ambayo ni popular Content Management System imeandikwa kwa kutumia PHP
    So kwa urahisi wa kupata Client au Ajira, PHP kwangu ni winner

  2. Community
    Hapa sina haja ya kuandika sana,PHP ina Community kubwa kuliko Python
    Hii maana yake ni nini? ni rahisi sana kupata Solution ya codes za PHP kuliko Python pale unapo kwama

  3. Framework
    Python ni rahisi, ina elegant syntax zinazopendeza kuliko PHP lakini nilipojifunza Django ambayo ni popular Web Framework
    Kwa Python Developer I have to admit, sikuipenda
    Haina Developer Experience nzuri niki compare na Laravel
    To be honest, zijaona mpaka sasa Framework yenye Pattern na Structure inayoeleweka kama Laravel

  4. Speed
    PHP imepitia Modifications nyingi mpaka kufikia sasa (PHP 8)
    Na hizo modifications zime boost sana Speed ya PHP
    Kitu ambacho ni nadra sana kwa Python developer ku kwambia ni kwamba, speed ya PHP ( kwanzia version 7)
    Ni mara tatu ya Python
    Means Project yoyote iliyoandikwa kwa PHP ina run mara tatu haraka ya Project yoyote ya Python
    Just chukua Algorithm yoyote, mfano Bubble sort (ambayo ni very slow) then implement kwenye language zote uone tofauti kwenye
    Performance
    View attachment 1881269

Mwisho tambua kuwa PHP na Javascript ni languages mbovu in terms of Design ila cha muhimu sio hicho
Python ni nzuri in terms of Syntax na design ila cha muhimu sio hiki pia

Unaweza kuandika Codes mbaya kwenye Python vile vile unaweza andika Codes nzuri kwenye PHP,issue ni Mindset

Kwa ushauri kuhusu Tech,au Web development
Contact : 0748333586
View attachment 1881276

Credit kwa kaka Stefano Mtangoo
Hivi ni baadhi ya vitu unique kuhusu Python ambavyo sikua navijua before sijajua kwa PHP

Hivi ni baadhi ya vitu Python inavyo ila PHP haina
1. PHP haiwezi kuwa embeded kwenye C++ na pia kui plug Python kwenye C++ haiwezekani. Unaweza kuandika C extension ya PHP na kui register kwenye ini but ni process tedious kuliko kutumia Python. Python ilitengenezwa ikiwa na extensibility upfront!

2. PHP haiwezi kutumika kwenye data analysis. Sio kwa sababu hiwezi kufanywa ikawa, ila from design PoV haikuwa designed kwa ajili hiyo. Hakuna libraries na tools za kufanya extensive data analysis kama Python na Py tayari ni de-facto kwenye data science.

3. PHP Haiwezi kutengeneza purely Desktop app. Unaweza kufinyanga PHP ikatoa desktop app kama wxPHP au PHPGTK lakini Python inafanya hili kwa urahisi. Hii ni kutokana na architect za Interpreters ambapo ni rahisi ku ship Py interpreter kuliko PHP interpreter, Plus PHP itahitaji container server.

Haya ni baadhi ambayo PHP haiwezi kufanya. Of course Py ina yake ambayo haiwezi kufanya au ni ngumu kufanya ilhali kwa PHP ni
breeze!

Kuhusu Speed ya PHP Vs Python

Python ni nzuri kwenye mifumo inayotumia app.

Php imebezi sana kwenye database ambazo kiuwendeshaji mfano chatting,account,rekodi data,control.

Ukizitumia zote kwa wakati mmoja zitakuwa best sana
 
Sijakuelewa, unaweza fafanua kidogo?
 
mathsjery anapendaga sana kuiponda PHP na kuipa promo Python.

Namshaanga kweli...

Wakati PHP ndio inatuweka mjini wadau.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom