nilisoma diploma ya uhandisi ujenzi muda kidogo
sasa baada ya kumaliza na maisha kunichapa, nilijikuta nimeingia katika maswala ya uchimbaji wa dhahabu maporini katavi
huko nilifanikiwa kujifunza nje ndani kuhusu madini ya dhabau sema kule tulikuwa tunachimba locally sio kama wasomi...