Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".
Habarini Wana jamvi humu ndani.
Naomba kuuliza kwa wenye ufuhamu na uelewa zaidi wa hii gani ya Biomedical eng (vifaa tiba) hususani katika swala la àjira zake kwa sasa na badae,je serikali itaweza kuajiri wahitimu kulingana na idadi yao na ukitazama nature hii kozi huwezi fanya tofauti na...
Mwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa kimombo tunasema academic rigour, au ndo ile bla bla tu ilimradi watu wamalize? Nafikiria kufanya...
Habari zenu wakuu,
Kuna kitu ningependa tupeane elimu kwa kiasi chake. Pale nitakapokosea msisite kunielekeza maana mimi pia najifunza hapa kwa wanajamvi na ma injinia mliotukuka humu JF.
Launch control system hii husaidia gari ikamate ardhi,inasambaza uzito uwiane katika gari,inasaidia gari...
Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?
Employer: National Institute of Transport (NIT)
Date Published: 18 November, 2019
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
Teaches up to NTA level 6 (Ordinary Diploma) and may assist teaching in higher NTA Levels,
Conduct tutorials for NTA 7,
Assist to carryout Research and consultancy and works,
Assists...
Salamu wandugu.
Nimeombwa na marafiki ambao wanatafuta kuwekeza kwenye innovation/incubation of ideas and local product development. For artist, technologists, engineers, application developers, etc.
The Idea ni kuwa na sehemu ambayo itawapa fursa like-minded people kubadilishana mawazo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.