Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".
Poleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini wadau na wizara zisipunguze mzigo kwa vyuo kama Udsm,DIT,MUSTnk maana vinachukua wanafunzi wengi...
Habariii wakuu?
Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote.
Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye...
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.
Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college...
Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering).
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
The Ministry of Finance and Planning(MoFP) of the United Republic of Tanzania has received financing from KfW Development Bank (“KfW”) in the form of a financial contribution toward the costs of the project “Sustainable Development of Protected Area Ecosystems (Component 2)”.
Project Executing...
POST AGRICULTURAL TUTOR II – ENGINEERING – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules;
ii.To...
Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?
Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi.
Sasa...
Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).
Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea!
NB...
Habari,
Nina Diploma ya Civil Engineering natafuta kazi nipo Dar es salaam, naitaji kazi za site ili niweze kuwa vizuri zaidi
Pia ni mtaalamu wa Autocad na Archicad pia vingi nimeandika kwenye CV yangu. Msaada mwenye connection yoyote anisaidie ili nami nipate ujuzi zaidi wa kazi
Ndugu zangu habari za leo!
Mwanangu anapenda kusoma Aircraft Eng, ningependa kupata msaada kama kuna wadau wanaweza kunipa input yeyote kuhusu vyuo vya canada ili niweze kujiandaa na kufikia lengo lake.
Nasubiri msaada wenu!
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.
Baadhi ya tweets...
Habari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Habari wadau,
Wapi naweza kupata mafunzo ya muda mfupi ya Engineering Drafting and design (AutoCAD/Solid works)?
Pia nijue vigezo na masharti.
Asanteni
Kwanza nawapongeze wote mliosoma course yenye fursa nyingi popote dunian kama kama hii.
Lakini course hii inahitaji watu wenye nia ya kujifunza na kujua vitu vingi sana vilivyo ndani yake.
Bahati mbaya wahitimu wengi wamekuwa wahanga wa kutembeza vyeti kutafuta kazi ingali wanavitu vichwani...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo yenu kuhusu hiyo title.(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.