Msaada: Vigezo vya kusomea software engineering kwa tunaomaliza form4

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,443
Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.

Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?

2.ufaulu kiasi gani?

3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?

4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.

NAWAKILISHA.
 
Je nikisoma ngazi ya certificate hicho cheti chake nitakipataje na ninaweza kujiendeleza
Cheti unatumiwa Hadi ulipo after graduation. Ukitaka kujiendeleza naamini unaweza maana chuo Kiko accredited and credible kutoa elimu husika.
 
Je nikisoma ngazi ya certificate hicho cheti chake nitakipataje na ninaweza kujiendeleza
Ukihitaji unaweza kusoma hapa udemy wao wanacharge dola $13 tu.
Screenshot_20210721-203323.jpg
 
Duniani huko elimu Ni bure kwa Sasa . Mwaka huu Public University zote za Norway kwa Sasa zinatoa Free education for it's citizen and all nations.

Ujeremani wao Wana miaka wanatekeleza huu mfumo.

Elimu bure majuu.
 
Naona mambo bila bila ila kwa mimi nisipo kua na ticha ananielekeza live nahisi ni kazi bure
 
Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.

Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?

2.ufaulu kiasi gani?

3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?

4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.

NAWAKILISHA.
Kama hukusoma Physics nadhani ndoto yako itaishia hapo. Labda uangalie ICT.
 
Naona mambo bila bila ila kwa mimi nisipo kua na ticha ananielekeza live nahisi ni kazi bure
Hizi kozi kama sio mtu wa kujisomea jua utaishia kuwa injinia kilaza. Kama mpaka ufundishwe na mwalimu nakushauri achana na kozi yoyote ya kompyuta. Kaa nazo mbali kabisa.
 
Back
Top Bottom