Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
Siku hizi kumekua na ongezeko kubwa la programming bootcamps ambazo hutoa mafunzo ya programming, lakini nyingi kama sio zote hutoa mafunzo kwa bei kubwa huku wakihakikisha uhakika wa ajira baada ya mafunzo yao.
Zingine zinatoa mafunzo bure na kukutafutia connection za ajira na malipo ni baada ya kupata ajira hio mfanowe ni kama;
-->Microverse
-->Holberton university.
na nyinginezo uki-google unaweza pata taarifa zaidi. Sasa kuna hii software engineering programme inatolewa na Alx wakishirikiana na Holberton university, ikiwalenga vijana wa Africa kati ya miaka 18-35.
Programme inafanyika ndani ya mwaka mzima marrra baada ya kujiunga na ni bure kabisa. Vitu wanavyohitaji kutoka kwa anayetaka kujifunza.

- 12 months, 70 hours/week
- English proficiency
- Access to a desktop or laptop
- No prior programming experience required, in-course assessment
- Commitment and determination
Software Engineering by ALX - Certify in 9-12 months
12 month Software Engineering programme by African Leadership, ALX. Develop now.
www.alxafrica.com