engineering

Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Ucheleshwaji wa fedha za Industrial Practical Training (field)

    Habari wana JF nimepokea malalamiko kutoka kwa mwanafunzi X wa diploma in engineering under government sponsorship. Awali kama serikali ilivopendekeza kufutwa kwa Tuition fee kwa wanafunzi hao wa uhandisi ngazi ya stashada pia inafuatiwa na kupewa hela ya kujikimu wakati wakiwa mafunzo kwa...
  2. Shobi

    Nichague nini kati ya Advance HGK au Ordinary Diploma Civil Engineering?

    Kuna dogo niliona nimsaidie kiutani nikamfanyia application za diploma. Sasa alichaguliwa HGK shule moja moshi ila kule kwenye chuo pia amepata diploma civil engineering. Hapa anatakiwa afanye maamuzi yatakayoadhiri maisha yake yote.. Juzi anasema computer science Mimi naona akachemshe kichwa...
  3. jangoma

    Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  4. ChampN199

    Ni chuo kipi hapa Tanzania kinatoa Bachelor ya Electronics & Radar Engineering?

    Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili. Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
  5. M

    Chuo sahihi cha kusoma BSc in Civil Engineering

    Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
  6. jangoma

    Dunia nzima inakubali hakuna kozi ngumu chuo kikuu kama Electrical Engineering and Allied Sciences

    Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto. EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
  7. Don Philipson

    Ukisoma PGM unaweza kusoma cozi ya Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing Engineering UDSM?

    Habari wakuu Kuna dogo kamaliza form six mwaka huu alikuwa anasoma PGM Anatamani kusoma Hiyo coz pale UDSM inawezakana?
  8. Meneja Wa Makampuni

    Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

    Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni...
  9. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  10. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  11. A

    KERO Marketing ya Course ya Technical Education in Engineering chuo cha Mbeya haina ajira mtaani

    Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical Education tunaomba marketing associations zisaidie wanafunzi wamekata tamaa kabisa.
  12. M

    Bsc in Chemistry Vs BSc in Chemical and Process engineering

    Yupi ana fursa zaidi za kujiajiri na kuajiriwa kati ya aliyehitimu Bachelor of Science in Chemistry na aliyehitimu Bachelor of Science in Chemical and Process engineering?
  13. BB_DANGOTE

    Je computer engineering inayo fundishwa DIT na ya UDSM ipi Ina applicable content nyingi

    Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂 Ndomana nime kuja kuomba msaada Kwa wanaojua kuhusu hili... "Always say less than nessesary"
  14. daizouh

    Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  15. MINING GEOLOGY IT

    Teknolojia( Nature of offshore geotechnical engineering) ya uchimbaji mafuta na gesi unavotumika baharini.

    Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
  16. Jamii Opportunities

    Lecturer (Maritime Transport/Marine Engineering) at Dar es Salaam Maritime Institute

    POST LECTURER (MARITIME TRANSPORT/MARINE ENGINEERING)(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER DMI APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach and conduct seminars up to NTA level 9 (Master Degree); ii. To guide and supervise students in building...
  17. SankaraBoukaka

    Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

    Habari wandugu, Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:- Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data Engine swapping ECU Remapping Electrical system maintainance Mechanical...
  18. D

    Naomben ushauri natak kwenda chuo na nilikuw natak kusoma mechanical engineering na kama kun cozi nyingin bora ninayowez kujiari mnisaidie

    Kisw B Eng C Geo C Civi C Hist C Bios C Chem C Math D Phys D
  19. D

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo Phy D math D chemia C Biology C. Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
  20. Mwakinyo makini

    Ndoto yangu ni kuja kusomea Uinjinia wa ndege

    Habari wadau wa JF, Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
Back
Top Bottom