Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mkuranga, Juma Abeid, anasema kuna jumla ya wakazi zaidi ya laki mbili kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2012, ina kata 25, vijiji 125 na vitongoji 475, zao lao kuu la biashara ni korosho.
Pia, anataja mazao mengine wilayani ni pamoja na nanasi, mihogo, korosho...