emmanuel john nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi afunga kazi Ruvuma

    BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Dkt Nchimbi: Msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na amani na utulivu wa nchi

    UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na amani na utulivu wa nchi. Balozi Nchimbi aliyasema hayo leo Jumapili, tarehe 6 Aprili 2025...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huenda ndugu Adam Omar Kimbisa akarithi mikoba ya ukatibu mkuu wa CCM taifa, baada ya Dr. Nchimbi kuteuliwa kua mgombea mwenza wa urais 2025

    Kulingana na hali ya kisiasa nchini, kuna uwezekano kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dodoma Alhaji ADAM OMAR KIMBISA kuteuliwa na kupewa jukumu muhimu la ukatibu mkuu wa ccm taifa, kurithi mikoba ya Dr. Emanuel Nchimbi, ambae alieteuliwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm taifa, kua mgombea mwenza wa...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 𝗗𝗞𝗧. Nchimbi anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma

    𝗗𝗞𝗧. 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗥𝗨𝗩𝗨𝗠𝗔 𝙉𝙞 𝙯𝙞𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 5 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi achangisha sh. 950 milioni kwa matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo. Kiasi...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Mapambano ya uhuru wa kiuchumi Kusini mwa Afrika yanaendelea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa mapambano ya uhuru wa kiuchumi na ustawi wa kijamii katika nchi za Kusini mwa Afrika yanaendelea kwa kasi kubwa, ikiwa ni njia ya kuwaenzi waasisi wa ukombozi wa kisiasa katika ukanda huo. Akizungumza...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Frederick Sumaye

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CHADEMA walihitaji kiongozi safi, muadilifu na anaechukia rushwa, bilashaka sasa watamuunga mkono Dr.Emmanul Nchimbi

    Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili. Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM, uadilifu na uzoefu ndio msingi wa uongozi wa nchi kuelekea 2030🐒 Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Mwenza wa Urais CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi wowote ndani na Nje ya CCM, ni Mzigo mzito kumnadi

    Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM. Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna...
  14. Hamduni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi apongeza Kasi ya Uokoaji Kariakoo na kusema iongezwe zaidi, asema CCM iko tayari kutoa Msaada wowote utakaohitajika!

    Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi: 1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji 2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi 3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka 4. Shukrani Kwa RC...
  16. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 2019 Dr Bashiru na Polepole walitumia Nguvu lakini 2024 Dr Nchimbi na CPA Makalla wanatumia Sayansi ya Siasa, Orodha imeshawavuruga CHADEMA

    Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa miwili Mitatu Kwa sasa Sekretarieti ya CCM ina Watu wanaojua Siasa ni Sayansi na kwamba Nguvu ni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi: CCM Itawashinda Wapinzani Kwa Namna ambayo hawajawahi kushindwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na kuwa mfano bora wanapojadili masuala mbalimbali ya kitaifa. Akizungumza katika hafla ya kumaliza...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi: Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa

    "Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa, kila mwanachama ndani ya chama chetu ana haki sawa na mwingine" . Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Kahama...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

    Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo. Sasa angalia mwenyewe...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Nchimbi: Tofauti ya Mpina na WanaCCM au Wabunge wengine ni tofauti ipo kwenye Familia yoyote

    Naomba nikiri kwamba Mh. Mbunge ni Mdogo wangu na ni Rafiki yangu pia, amekuwa Mwenyekiti wangu wa UVCCM wa Wilaya ya Meatu wakati nikiwa Mwenyekiti UVCCM Taifa lakini pia wakati nasoma degree ya pili Mzumbe yeye alikuwa anasoma degree yake ya kwanza na hajawahi kuacha kuwa mtatamtata hivi hata...
Back
Top Bottom