Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo amesema kamati yake itashirikiana kwa karibu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) katika usimamizi na uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari ili...
Zaidi ya wakazi 300 wa Kitongoji cha Matuga, Kata ya Kawawa, Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mkoa wa Pwani wameanza kunufaika na huduma ya majisafi na salama, baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Matuga uliotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa lengo la...
Hamjambo!
1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu.
2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume.
3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
Mkaguzi wa Polisi wa Kata ya Kisangura, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameendelea kuzigusa na kuzifikia familia mbalimbali katika kata yake kwa kushiriki nao upendo kupitia utoaji wa elimu ya kukabiliana na uhalifu pamoja na msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya mahitaji ya shule...
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI
MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi.
Tunaomba wizara husika Tamisemi na walimu wote watoe elimu kwa kina kwa wanafunzi juu ya maambukizi na...
Ndugu mzazi, la sivyo unaweza kumpoteza mwanao kielimu bila
wewe kujua.
Kwa sasa tumeshuhudia changamoto nyingi katika ufundishaji wa watoto:
Mtoto anafundishwa egg lakini anapaka rangi nyekundu, ilhali hakuna yai lenye rangi hiyo.
Orange anapaka nyeusi, lakini bado mwalimu anaandika...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
Habari Wakuu.
Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu.
Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa...
Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia.
Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
Kujua siri za mtu yeyote.
Kujua siri za herufi.
Kujua siri za maneno.
Kujua shughuli za siri.
Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda.
Kujua siri za...
Kujua utajiri mtu alionao.
Kujua siri ya sanaa zote.
12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M
12\2 SIMBASI, I...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026):
- Afghanistan (chini ya Taliban)
- Masomo yote yanayohusu haki za wanawake
- Gender studies / Jinsia na masuala ya kijinsia
-...
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
Anonymous (6198)
Thread
elimuelimu bure
kazi
nyampulukano
sengerema
shule
takukuru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.