Mara nyingi wazazi wanapochagua shule kwa ajili ya watoto wao, kigezo kikuu huwa ni ufaulu wa kitaaluma. Siku hizi, baadhi ya wazazi wako tayari kulipa ada kubwa ili kuhakikisha watoto wao wanasoma katika mazingira bora, huku wakiachia jukumu la malezi kwa walimu.
Kwa upande mwingine, shule...
Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa.
Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka,
Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili...
Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako.
Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai?
Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
Nimejaribu kupitia mtaala huu mpya wa elimu ya msingi Hadi kidato Cha nne sijaona suluhisho la mtaala huu kuwaandaa watoto wetu kushindana na nchi zingine au watoto kujitegemea.
Mfano historia ya Tanzania mtoto anafundishwa teknolojia ya asili ya uvuvi, uhunzi, kilimo wakati watoto wa huko...
Africa itakuja kuelendelea lakini baada ya kupoteza kila kitu.. Bado tuna vitu vingi adimu, cya thamani kubwa na vya kipekee ambavyo wenzetu hawana tena lakini sisi hatuvithamini.. Leo tuangazie siafu
Matumizi ya siafu nchini China yanahusisha nyanja za kitabibu
kilimo
biashara, huku kukiwa...
ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA
https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC
~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Igweeee!
wanajukwaa wkwa wenye experience na kiinua mgongo katika sekta tajwa anabeba ngapi??
Na je kila mwezi wanapokea Pesa sijui inaitwa pension? kitu kama hicho. Je ni bei gani.
kwa wajuzi tu, kama hujui comment fupi fupi
Nimeiona pahali Fulani Nini Maoni Yako mwana JF??
ELIMU YETU
Leo tumeanza mitihani hapa chuoni. Kitu kimoja kuhusu elimu ya Tanzania kinanijua akilini wakati naamka kuwahi saa 12 niwe ofisini. Elimu ya Tanzania ni kama mzazi asiyejua amleeje mwanaye. Wakati mzazi huyo anamlaumu mtoto, na mtoto...
DAZ BABA - ELIMU DUNIA.
VERSE.. ( AFANDE SELE)
We ni mfungwa sasa 'si mtu huru/
Ukilalamika sana utakuwa kama unakufuru/
Tu..!!
Lazima ujue sisi ni vifaranga na maisha ni kama mwewe/
Mama yetu ni elimu’ ulio mkataaga we mwenyewe/
zamani..!!
Ulimkataa elimu ya duniani 'ukampiga hadi mwalimu...
Hapa nilipo nina vyeti vingi kweli, vinakaribia kujaa begi, lakini sina uwezo wa kuvumbua chochote kile kwa kutumia elimu niliyoipata kutokea chekechea mpaka uprofeseri...
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe
Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana
Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life"
Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko.
Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka.
Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya...
Wanabisha nini, kwamba Lissu hakusema kama ataasi? Kwamba Lissu hakusema atavunja Katiba na sheria kwa kuzuia uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi nzima ili nchi ibaki bila ya Rais?
Kile wanachobisha hawa wanasheria wetu ni kipi, kwamba hakuna mtu (shahidi) aliyesikia kile Lissu alichokisema...
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo.
Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
Anonymous
Thread
baada
elimu
fedha
hata
idara
idara ya elimu
likizo
liwale
miaka
mwingine
umma
wakati
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
zao
“Tumesoma historia tukafundishwa kuwa asili yetu ni sokwe, na hata katika mitihani unatakiwa kukiri simulizi hilo bila kuhoji. Kwa mwelekeo huo wa kufikiri usioacha nafasi ya tafakuri huru, ungetarajia kweli kupata mvumbuzi au mgunduzi? Badala yake tunazalisha vijana wanaoamini uzungu ni kipimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.