Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani.
TFF sio wajinga kuweka sheria, zilizotungwa na kusimamiwa na FIFA kua vyumba vya kubadilishia nguo ni ndani ya uwanja na...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
Anonymous
Thread
elimu
kero
kulazimishwa
mbovu
serekali
shule
tamisemi
tuition
utaratibu mbovu
wanafunzi
wizara ya elimu
Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji.
Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu.
Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo
Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi
Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi...
Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya maridhiano. ilikuwa salama kwa sababu hakuna jinsi siasa hizo zinaweza kurudi nchini kwao.
Kenya...
Habari ? Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na michakato ya Kuhama kupitia Uhamisho_ Mfano Mtu anaeomba kuhama kutoka halmashauri 'z' kwenda taasisi za elimu ya juu mfano Udom, Udsm,Mwalimu Nyerere,Cbe,Mzumbe,Ardhi, Isw, n.k baada ya barua yake kupitishwa na mwajiri wake kwenda taasisi husika_ Je...
Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini?
Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
Kutokana na kukithiri kwa tatizo la wazazi kutelekeza watoto wao na kwenda kwenye makambi ya kilimo wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, uchunguzi umeonyesha kuwepo kwa mtazamo hasi kwa elimu.
Awali ilibainika kuwa zaidi ya watoto 2,000 huacha masomo kila mwaka katika wilaya ya Kasulu, mkoani...
Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na kuliona liko sahihi.
Kuna hoja ilitolewa na wapinzani na baadhi ya watu kuwa mfumo wa Elimu yetu ni...
Mbunge Jesca Magufuli amesema mikopo pekee kwa vijana haitoshi, isipokuwa wanahitaji kujengewa uwezo ili wanufaike na mikopo hiyo.
ELimu kama ya utunzaji wa fedha na namna ya kuanzisha biashara ndio itawafanya wanufaike na mikopo hoyo
=====
Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Magufuli, amesema...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
Anonymous
Thread
barua ya wazi
elimu
malalamiko
nyongeza
sayansi na teknolojia
vyuo vikuu
waziri wa elimu
Hivi inakuwaje kwa msomi kushindwa kutumia utajiri wa mtu kama fursa ya kuandaa matajiri kwenye familia yako? mtu anazeeka lakini ukiangalia anachomiliki ni watoto, gari na simu yakutukania wanasiasa mitandaoni. Ujue kuwa Unapotukana watu unapalilia laana katika familia Yako,
Nadhani Elimu...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu.
Naibu Waziri ameeleza...
Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi?
Suala la kuhama kwenye mfumo, tupewe elimu na vigezo vya mtumishi kuhama na kusaidika namna nzuri bila...
Anonymous
Thread
elimu
kuhusu
likizo
madaraja
posho
uhamisho
upandaji
upandaji wa madaraja
Wadau wa fedha na uwekezaji,
Kuna kitu muhimu sana ambacho mara nyingi tunakisoma kwenye vitabu vya Rich Dad Poor Dad na vingine vya personal development, lakini wengi wetu hatuchukui hatua — financial intelligence.
Reading is powerful, yes. Lakini knowledge bila application ni sawa na theory...
Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023.
Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
Anonymous
Thread
elimu
kinyume
masomo
masomo yote
mbinga
mkurugenzi
sera
sera ya elimu
wanafunzi
wilaya
wilaya ya mbinga
Wadau, mambo si mazuri ground. Grade 10 learners across the country wanapitia serious textbook crisis just after first term. Imagine class ya wanafunzi 50 wanashare vitabu 9 pekee learning inakuwa struggle kabisa.
Teachers na principals wanakiri kuna shortage but wengi hawawezi speak openly juu...
Tuzungumzie Occultism na Goetia.
Tunaingia kwenye ulimwengu wa "elimu ya siri" (hidden knowledge) ambayo kihistoria imekuwa ikitafuta kuelewa na kudhibiti nguvu zisizoonekana za ulimwengu.
Hapa kuna uchambuzi wa kuhusu:
1. Occultism (Elimu ya Siri)
Neno hili linatokana na neno la Kilatini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.