education

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri, Elimu Unayoiongoza Inazidi Kuwa “Local Education” Badala ya “Universal Market Education”

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa elimu ya juu nchini, hususan uamuzi na ufafanuniz wako kwenye hotuba ya jana wa kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Tunaamini...
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  3. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  4. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Gravity ni Nini? Imetokea Wapi?

    God In his Creation Created Gravitational Force Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other According to Universal law of Gravitation State that The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
  5. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: This is the future of education.

  6. R

    JamiiForums Tanzania Waafrika sijui nani alituroga, Mtoto wako wa Primary au Seko umemkamata ana sex na mwenzake kwanini umpige badala ya kumuelimisha sex education ?

    Watoto wanakuwa kila mwaka hawawezi watoto wadogo daima. Yale mambo ya kizamani ya kuchapa watoto wakikutwa wanashiriki tendo nilidhani yalishaachwa baada ya jamii kuelimika kumbe mpaka leo yapo, Leo hii kuna kijana mwenye 15 kakutwa ana sex, wazazi wake wamempiga nikabaki nashangaa tu, why...
  7. S

    JamiiForums Tanzania “The Impact of Poor-Quality Education on Economic Development, Good Governance, and Political Apathy(Uchawa) in Tanzania

    CHAPTER ONE INTRODUCTION 1.1 Background Information Education is the backbone of any nation’s development. It plays a vital role in shaping citizens who are skilled, informed, and capable of participating in economic, political, and social development. In Tanzania, despite various reforms and...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

    Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money) Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho. Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi. Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇 1. Poor leadership...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  10. Paspii0

    JamiiForums Tanzania A New Era in Education, From a Pyramid to a Square Structure

    👉🏾Zamani, mfumo wa elimu ulikuwa ni piramidi (pembe tatu), wengi walianza na elimu ya msingi, baadae sababu kama kukosekana kwa msukumo wa elimu,utoro,mazingira,kufeli waliishia darasa la saba au hawakufika,na wengine walikwenda sekondari walioweza kuhimili hizo changamoto. walimaliza elimu ya...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Redefining the Purpose of Education: Moving Beyond Memorization to Meaningful Learning

    Redefining the Purpose of Education: Moving Beyond Memorization to Meaningful Learning The modern education system stands at a crossroads. While students graduate with diplomas in hand, many find themselves unprepared for life's most fundamental challenges – filing taxes, managing mental...
  12. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania How My BSc in Physics Solves Real-World Problems in Education, Technology, Industry, and Medicine

    deleted
  13. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa aliyesoma Sociology, Psychology, Social Work na Special Needs education

    Ajira kwa aliyesoma Sociology nafasi 1, Psychology nafasi 1, Social Work nafasi 1, na Special Needs education nafasi 1 Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yoyote, cheti, diploma au degree. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

    Nchi nyingi duniani zinafuata mfumo wa Elimu wa *Prussian Education System". Tanzania pia tunafuata mfumo huo. Hata hivyo nchi nyingi Sasa hasa zilizo endelea zimesha achana na mfumo huu. Katika baadhi ya nchi hizo mfumo huu unatumika sambamba na mifumo / mitaala mingine mfano mtaala wa...
  15. josam

    JamiiForums Tanzania Teacher's vacancy

    Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school Requirements 1. Minimum three (3) years teaching experience in PRIVATE primary or Secondary schools 2. Education: Diploma or degree holder 3. Send your application and certificates to the mail below before 31 Jan 2025. Email...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Is African Education system a prank? Answers are here

    Kilicho andikwa hapa Kina ukweli WA asilimia mia. Anasema " What could be a better prank than making people study for 20 years then never giving them jobs"? Haya Sasa twende Kazi , kimbia haraka Sana kamtoe mtoto wako shule ya EM mrudishe Kayumba. Thank me later 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Civic and Moral Education & Social Studies natafuta kazi. Nipo DSM

    Habari, Mimi ni mwalimu ninaefundisha Civic and Moral Education, Social Studies na Kiswahili kwa primary schools. Additionally, naweza kufundisha matumizi ya Computer. Lakini pia ninaweza kufundisha History, Civics na English kwa secondary schools. Elimu yangu ni Digrii ya Elimu (Bachelor of...
  18. G

    JamiiForums Tanzania To. Higher education students loarn board

    Tarhe 12.14.22.24 Nina usaili utumishi, nyie ni miongoni mwa watu waliomo kwenye list ya wanaotakiwa kuniombea, nina zaidi ya mil13 zenu, na kwajinsi hali ilivyo ngumu kitaa hamtokaa mzipate, option pekee ya nyie kuzipata ni mimi nipate hiyo Ajira, fungeni na kuomba sana nitoboe, pakeni...
  19. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Download kitabu cha "Guidance and counselling in education institution" na ict and computer application for teachers(pdf)

    VITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA
  20. Dilan

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa alyewahi kufanya usaili tie (tanzania institute of education) editor ii

    Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
Back
Top Bottom