Hivi Eatv na Star tv ni vituo vya kidini ya kikiristo?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,878
Reaction score
4,440
Inanishangaza na kujiuliza hivi vituo vya television vya Eatv na Star tv ni vya vituo vya kikristo na kama sio mbona kila asubuhi saa kumi na mbili ni kupiga nyimbo za kwaya tu as if watazamaji wake wote ni wakristo wakati kuna watazamaji wa kila dini kama waislamu,wahindu,mayahudi,mashinto,watibet,na wa kila aina

Mnakera hivyo vituo sie watazamaji wenu mnatuchukiza tutawaachia muwe mnaangalia wenyewe mhavile na diallo muwe mnabalance aisee ingekuwa television inapiga mawaidha ya kiislamu tu humu ndani kusingekalika ungeiona jinsi watu wanalivyolipuka kwa chuki na hasira humu!! Mnakera aisee

Nb;
Moderator muwe mnabalance udini wenu
 
Mkuu na wewe Weka TV Imani oooh
 
Acha kuangalia!
 
Tulia wewe, vile ni vituo binafsi na hivyo ni vipindi vilivyoko kwenye ratiba zao. Hivyo vituo si TBC eti vibalansi dini. Mbona azam imejaza maudhui ya kiislam kana kwamba nchi ni ya kiislam. Suala la kubalansi dini na imani si lazima kwa kituo binafsi, mmiliki anaweza kujaza vipindi vingi vyenye maudhui ya dini na imani yake, huoni azam anavyofanya?
 
Ungeshauri azam muislam mwenye chaneli nyingi walao awe na chaneli moja ya maudhui ya kikristo tu hoja yako ingekuwa ya maana. Vile vipindi vya tv hizo vina watazamaji wake wengi tu na wanavutiwa navyo
 
Azam

tv walikuwa wanaleta maudhui ya Ramadhani mlikuwa mnapiga vibweka kama mbwa aliyekosa mkia
 
Nunua king'amuzi cha Azam!! Hakika hutojutia. Mule mna kila kitu ukipendacho. Kuanzia Tv Imaan, ZBC2, nk
 
Ungeshauri azam muislam mwenye chaneli nyingi walao awe na chaneli moja ya maudhui ya kikristo tu hoja yako ingekuwa ya maana. Vile vipindi vya tv hizo vina watazamaji wake wengi tu na wanavutiwa navyo
Basi acheni kumbwekea mzee wa watu kwa kuweka maudhui ya Ramadhani
 
Na msije kuwalaumu
Azam TV kwa kuleta maudhui ya kiislamu
Sasa Azam Tv unaitenganisha vipi na mauduhui ya Kiislam/Waislam!! Binafsi natumia king'amuzi chao kwa sababu ya mechi za Ligi kuu tu ya Bongo. Hakuna kingine.
 
Mkuuu kila asubuhi wakati huko wanapiga kwaya tu wewe weka TV Islam, ZBC, ZBC2 au TV Imaan. Nitakusaidia hapa namba za Chanel hizo kwenye king’amuzi cha Azam
Tv Islam # 387
ZBC. # 405
ZBC2.# 406
Tv Imaan. # 456
Usikubali kuumiza moyo wako mkuu wakati king’amuzi cha Azam kina Chanel 138 za tv na Chanel 26 za radio
 
Usiwe unaangalia hizo chanel,ukute wanajua muda huo waislam wako kwenye sala ya alfajiri,hawaangalii tv
 
Azam tv ni Izbullah au Hamas??? Azam ni Al Qaida au Taleban??? Azam ni ya Mujahidin au Houth??? Azam ni Al shabab au Boko Haram???

Kweli Nyani haoni Kundule,,,

Mwambie na Said Salim Bakhresa aache udini kwanza??? ndipo uwaambie wakina Joyce Mhavile na Antony Diallo...

Maumivu yakizidi weka Tv zenu za AZAM, ZBC, ZBC2, Tv Islam, Tv Imaan, Ibn Africa!!
 
Back
Top Bottom