eacop

The East African Crude Oil Pipeline (EACOP), also known as the Uganda–Tanzania Crude Oil Pipeline (UTCOP), is under construction and intended to transport crude oil from Uganda's oil fields to the Port of Tanga, Tanzania on the Indian Ocean. Once completed, the pipeline will be the longest heated crude oil pipeline in the world. Because of the large scale displacement of communities and wildlife, global environmental groups are protesting its construction and finance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mradi wa bomba la mafuta EACOP watoa ajira 3,000 Tanzania

    Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini Mradi huo utakaokuwa na urefu wa zaidi ya Kilometa 1147 mbali na ajira utatoa pia fursa mbalimbali za ajira...
  2. JamiiForums Tanzania Ufaransa waandamana kupinga TotalEnergies kujenga Bomba la Mafuta ghafi la EACOP

    Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote. Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
  3. JamiiForums Tanzania Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  4. JamiiForums Tanzania Standard Bank yatetea ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Standard Bank Group, benki ya kimataifa na yenye ushawishi katika ufadhili wa miradi mikubwa ya maendeleo barani Afrika imesema ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) utakuwa na manufaa kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Standard...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

    Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mtendaji Mkuu wa Kampuni...
  6. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa msimamo ujenzi bomba la mafuta la EACOP

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu. Waziri wa Nishati, January...
  8. JamiiForums Tanzania Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

    Naomba tujadili ndugu zangu. Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta. Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini. Huu mradi kwanini wanauzuia. Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili. Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BIG Blow for EACOP as Deutsche Bank Cancels Financing

    All along we were made to believe the deal was done. It appears Total has no money to finance the project, and it's main lenders are all dropping out one by one, thanks to environmental activists in Europe. Is EACOP facing the same fate as US Keystone pipeline project? Perhaps Tanzania and...
  10. JamiiForums Tanzania Contract wa EACOP

    Habari wakulungwa , Naomba kufahamu jina la contractors wa huu mradi wa EACOP, Lakini pia naomba kufahamu huyu EALS naye ni nani kwenye huu mradi maana sielewin, nimejaribu kuugogle but sijapata majibu takwa, Asanteni sana
  11. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)

    BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI (EACOP) ✍🏻 Huu ni mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani mkoani Tanga nchini Tanzania. Mradi huu una urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nairudisha Bandari ya Bagamoyo ukumbini, nikiiunganisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Hoima hadi Tanga, ni "Joint Venture", na tumekwishashuhudia hatua zote zinazohusika na mradi huo zinavyoandaliwa na kupata maelezo namna mradi utakavyotekelezwa. Haya mambo kwa sehemu kikubwa yamewekwa wazi, na hatujashuhudia kelele nyingi zikipigwa toka kwenye...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special thread: EACOP updates

    Since the EACOP is gaining momentum, I would like to give my suggestion of having a single thread that will accommodate all matters regarding to development of a project. This will cub the confusion of having a number of threads which talk about EACOP progress. Kindly for your umoja.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni is to visit Dar today for EACOP signing

    Museveni off to Tanzania to finalise oil pipeline deal President Museveni is any time from now expected in the Tanzanian capital, Dar es Salaam to finalise the signing of the East African Crude Oil Pipeline agreement, the Nile Post has learnt. President Museveni shares a light moment with...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Contrary to tripartite agreement, Kenya continues to daydream that EACOP will use Mombasa port during construction !

    IDEAS & DEBATE Uganda can finally see oil exports happening WEDNESDAY APRIL 21 2021 Presidents Samia Suluhu Hassan (Tanzania) and Yoweri Museveni (Uganda) on Sunday, April 11, 2021. PHOTO | COURTESY By GEORGE WACHIRA More by this Author SUMMARY On Sunday, April 11, President Yoweri...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Now bitter Kenya is busy demonizing Museveni after losing EACOP

    Holding on to power: Africa's longest-serving leaders Wednesday, April 21, 2021 By AFP After three decades in power, Chad's President Idriss Deby Itno died on Tuesday from wounds suffered on the battlefield, the army said in a shock announcement just a day after the 68-year-old was re-elected...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bitter Kenyans are still trying to frustrate EACOP

    Case against pipeline project delays in Arusha WEDNESDAY APRIL 21 2021 By LUKE ANAMI A case seeking to stop construction of the oil pipeline from Uganda to Tanzania for failing to conduct an environmental and social impact assessment has failed to take off even as the two countries proceed with...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…