duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi za Magharib zitageukia kuongoza kimabavu na ubabe, na zimeshaanza

    Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja. Kutokana na muingiliano wa kijamii (...
  2. Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

  3. Jifunze ku-appreciate Mtu/Watu waliokusaidia, waambie wakiwa hai, usisubiri wakiwa hawapo Duniani

    Kwenye maisha imekuwa ni kawaida japo siyo kwa wote kuona Watu hawakubali kuweka wazi au kueleza mchango wa mtu au watu fulani waliowasaidia kwenye maisha. Inawezekana wanahofu kusema hivyo labla wao wataonekana kuwa wapo chini au Jamii inaweza kuwachukulia poa kwa kuwa wamesaidiwa na mtu au...
  4. Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  5. Kwa VPN unaona Raha zote duniani

    Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
  6. Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza nchini kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni

    Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros. Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
  7. WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
  8. Uasili wa vazi la kanzu linalovaliwa na Waislamu wengi duniani

    Haya ni sehemu ya maelezo muhimu ya uasili wa uvaaji wa vazi la Kanzu. 👇
  9. Kufugwa kwa akili ya binadamu; Kelele ya ukimya Duniani kama Jehanamu.

    Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia. Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
  10. Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

    Wala usijichoshe, hakuna. Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana? Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
  11. Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  12. Nchi zenye kupendeza, uzuri na mpangilio wa Ujenzi mzuri zaidi Duniani

    Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira 1. Italy Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical. Mijini kama Rome, Florence, Venice ina majengo ya kihistoria kama Duomo ya Florence, Colosseum, na...
  13. Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

    Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza. Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ? Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa...
  14. Nchi zenye Watalii wengi duniani

    Alafu kuna watu wanapiga kelele na Tz yao yenye watalii milioni 2
  15. R

    Ugaidi umepungua duniani, nini kimefanyika kuudhiibiti

    matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana. Nini kimefanyika?
  16. Je, Yesu na Paulo wangekuwepo "live" duniani leo, wangecheza au kushabikia mpira?

    Enyi Wakristo, leo nimewafuata hukuhuku, najua mpo wengi kwenye jukwaa hili la Sports. Please, naomba kwa dakika moja tuzungumze jambo muhimu kuhusiana na soka. Soka ni mchezo unaofurahisha na kuwaunganisha watu wengi duniani. Lakini, je, mmewahi kujiuliza kama Bwana wetu Yesu Kristo na mtume...
  17. R

    Padre: Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya

    Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani". Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
  18. Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  19. Diamond Platinum tokea uhamia kuishabikia Klabu moja hivi duniani yenye Washamba wengi nawe pia sasa umekuwa kama Wao tu

    Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno hapa JamiiForums ila sasa nimeamini ukiwa Mshabiki wa hiyo Timu uliyoko sasa utakuwa Mshamba na Juha...
  20. Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…