duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  2. JamiiForums Tanzania CPJ: Idadi ya waandishi wa habari waliofungwa duniani yaongezeka

    Kamati ya kutetea waandishi habari CPJ imesema idadi ya waandishi habari waliofungwa duniani mwaka huu imefikia kiwango cha juu huku China na Myanmar zikiropotiwa kuwaweka gerezani wanahabari 293. Katika ripoti yake ya kila mwaka, kamati hiyo ya kutetea waandishi habari imesema waandishi habari...
  3. JamiiForums Tanzania Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  4. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Tanzania na Malawi kuhusu Mpaka katika Ziwa Nyasa umeishia wapi?

    Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wadau wanastahili kujivunia kwa kutangazwa siku ya Kiswahili Duniani lakini juhudi za kukikuza zinahitajika zaidi

    Na Pili Mwinyi Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  8. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI

    BALOZI BATILDA AONGOZA SIKU YA UKIMWI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KIMKOA WILAYANI SIKONGE. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi. Dkt. Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Kata ya Ipole Wilayani Sikonge na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

    - Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo. - Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani

    Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (Universal Postal Union Postal Operations Council) kimeendelea leo tarehe 24 Novemba,2021 jijini Berne,Uswis ambapo Tanzania Imeongoza kikao cha Kamati namba mbili ya Baraza hilo inayohusu Huduma za Posta na Biashara Mtandao (Physical...
  12. JamiiForums Tanzania Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanadamu wameipa pesa kipaumbele kuliko kitu chochote hapa duniani

    Habari za mchana natumaini nyote wazima kbsàa poleni na tabu za maji,umeme na joto Kali kwa wale wakazi wa Dar. Bila kupoteza muda tuende kwenye mada yetu ya leo ndugu zangu. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa au naweza sema ni wimbo wa Taifa kila Mtu anaimba TAFUTA PESA ,TAFUTA...
  15. JamiiForums Tanzania Mfahamu Chandra Bahadur Dangi mwanaume mfupi zaidi duniani aliyewahi kuingia kwenye rekodi ya Guinness

    Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
  16. JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  17. JamiiForums Tanzania Mfahamu Robert Pershing Wadlow binadamu mrefu aliyewahi kuishi hapa duniani

    Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza kukanushwa. Alizaliwa na kukulia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  19. JamiiForums Tanzania Nyangumi wa bluu, mnyama mwenye uume mrefu zaidi duniani

    Nyangumi wa bluu ana uume mkubwa zaidi katika ufalme wa wanyama. Kwa kawaida inatajwa kuwa na urefu wa wastani wa uume wa mita 2.5 (8 ft 2 in) hadi mita 3 (9.8 ft) na kipenyo cha sentimita 30 (12 in) hadi sentimeta 36 (14 in). Ncha iliyokaushwa ya uume wa nyangumi wa Bluu, Makumbusho ya...
  20. JamiiForums Tanzania WFP waripoti ongezeko la njaa duniani

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limeonya kwamba idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa katika nchi 43, imeongezeka hadi kufikia milioni 45, yaani juu kwa ongezeko la watu milioni tatu mwaka huu huku njaa kali ikiongezeka kote ulimwenguni. Idadi hii imeongezeka kutoka milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…