duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Julai 5, 1996: Kondoo wa kwanza aliyeumbwa kwa njia ya kurudufu (Clone) duniani alizaliwa

    Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa kwa Dolly kumeweka msingi wa maendeleo ya teknolojia ya viumbe vya kurudufu (Clone), na kuibua mawazo...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

    Aisee tafuta BREAKING BAD.bonge la dude
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  4. JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Juni 26 Ni Siku ya Kupinga Matumizi ya Madawa ya Kulevya Duniani

    Juni 26 ni siku ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi Mabaya ya Madawa ya Kulevya na Usafirishaji Haramu, inaadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuifanya Dunia kuwa huru kwenye matumizi ya Madawa ya Kulevya. Imekuwa ikiadhimishwa tangu kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Desemba...
  6. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya USA ni kubwa kuliko jumla ya bajeti ya Mataifa yote Duniani

    BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu kutoka nchi karibu mia mbili duniani wanakongamana Nairobi kuhudhuria UN Biodiversity conference

    Hii Nairobi imeshakuwa global city. Nairobi sasa hivi inahost UN Biodiversity conference na watu wanaohudhuria hii conference wanatoka katika nchi zote duniani. Crunch Talks Kick Off On Global Pact To Protect Nature Negotiators from almost 200 countries will begin crunch biodiversity talks in...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Twiga duniani

    Tarehe 21 Juni ni Siku ya Twiga Duniani. Twiga ni mmoja wa wanyama wanaopendwa zaidi na watu barani Afrika. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kupungua kwa wanyama hao kumesababisha wasiwasi. === Happy World Giraffe Day! Did you know about the five different species of giraffes present on...
  9. JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Watu milioni 89.3 wamekimbia makazi yao Duniani, kwa mujibu wa UNHCR

    Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) za mwaka 2021 ambazo pia zinatumuka mpaka sasa zinaonesha kuna idadi ya watu milioni 89.3 ambao wamekimbia makazi yao, kati yao watu milioni 27.1 ni wakimbizi, pia nusu ya hao Wakimbizi wana umri chini ya miaka 18. Watu...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya Seli Mundu Duniani

    Juni 19 kila mwaka watu wote duniani huadhimisha siku ya ugonjwa wa Sickle Cell, unaosababishwa na mabadiliko ya chembe nyekundu za damu Kauli mbiu ya mwaka huu ni Shine The Light On Sickle Cell, ikikusudia kujengea watu uelewa na ufahamu juu ya ugonjwa huu, ikiwemo kusahihisha fikra potofu...
  12. JamiiForums Tanzania Chukua hii, Tajiri namba moja duniani Elon Musk anadaiwa

    Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli huyu msichana anaishi duniani?

    Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu akijitahidi kuweka dau lakuchukua rasilimali isiyohamishika. Dah [emoji22], hii dunia inanipita...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

    Habarini za usiku wapendwa Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  18. JamiiForums Tanzania Juni 8: Siku ya Bahari Duniani

    Kila mwaka ifikapo Juni 8, Siku ya Bahari Duniani huadhimishwa ili kuwakumbusha watu umuhimu wa bahari katika maisha ya kila siku na matishio mbalimbali yanayoikabili bahari zikiwemo shughuli za kibinadamu Katika nafasi ya mtu mmoja mmoja, tunaweza kulinda na kutunza bahari kwa kupunguza au...
  19. JamiiForums Tanzania Duniani Kuna vituko: Awashtaki wazazi wake Kwa kumzaa

    Thread was deleted
  20. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba China imesababisha mgogoro wa chakula duniani?

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa linalohusisha usalama wa chakula wa mabilioni ya watu duniani, hivyo linafuatiliwa sana. Kwa mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…