duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Duniani tunaota tu, sio Maisha halisi

    Habarini wanajamvi! Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi milele, hivyo basi ishu ya maisha iwe ni miaka 10 20 au hata 100 ni kama nukta tu kwenye kitu kinachosihi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuona Maiti ikizikwa na Manispaa kumenitafakarisha sana maisha yetu hapa duniani

    Wasalaam!. Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini. Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
  3. JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Mtu aliyekuwa na raha zaidi Duniani huyu hapa!

    Maisha bwana! Acha tu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kati ya Wanawake wenye ushawishi zaidi duniani

    Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja kwa mara ya pili Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa wanawake 100 duniani wenye nguvu na ushawishi zaidi akishika nafasi ya 95. Uchapakazi na uongozi wenye kuleta maendeleo endelevu vimempa heshima hiyo. Rais Samia Suluhu anaendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia na maigizo

    Ni kama vile timu kubwa zinawekewa vipaumbele kwa kila namna zipate kufuzu hatua zinazofuata. Mechi ya Senegal dhidi ya Uingereza, kabla hata Uingereza kupata goli kulikuwa na tukio la wazi la mchezaji wa Senegal kuchezewa foul ndani ya 18 lakini mwamuzi na watu wa V.A.R wakamezea. Jana pia...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China chaleta mbegu za mpunga zilizopatikana katika obiti kwa mara ya kwanza duniani

    Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli zilizorejeshwa ni pamoja na vifurushi vitatu vya baridi vya sampuli za kibaiolojia na mfuko mmoja wa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Vyuo Vikuu Duniani, watu waliyopewa Udaktari wa Heshima wasitambulishwe kama ‘Doctor’

    Ndio maana hatukusikia ‘Doctor Julius Nyerere’ japo alikuwa na doctorate za heshima zaidi ya sita. Kwa mujibu wa wanataaluma na mapokeo ya vyuo vikuu duniani wale waliopewa doctorate za heshima hawapaswi kuitwa doctors kama wale waliosomea PhD. Soma hapa: Should Recipients of an Honorary...
  11. JamiiForums Tanzania HIMARS zazidi kupata soko duniani, haitakua rahisi kukimu uhitaji wake

    Kwa zilivyomlemaza Mrusi, zinahitajika kote, hata Waarabu watazihitaji sana na kuhama utegemezi wao kwa Urusi... The Estonian government on Saturday announced the purchase of U.S. HIMARS multiple rocket launcher systems worth more than 190 million euros, the Ministry of Defense Investment...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  14. JamiiForums Tanzania Habari njema kwa nchi, gesi nyingine ya Helium yagunduliwa Bonde la Ziwa Nyasa. Tanzania kuwa muuzaji kinara Duniani

    Habari wadau, Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na jarida la The Business Wiz likinukuu kampuni ya Helium One iliyokuwa inafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Mlima mkubwa zaidi duniani wa Volcano walipuka huko Hawaii

    Mlima wa volcano mkubwa zaidi duniani, Mauna Loa wa Hawaii, umelipuka kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 40. Huduma ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeonya hali ya mazingira na hewa inaweza kubadilika haraka kuwa ya hatari kwa haraka sana. =================== Mauna Loa, the largest...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kikristo Duniani inayoongozwa kwa sheria za Kikrito?

    Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba 'assylum' huko. Ila zisiwe sheria za kanisa Katoliki.
  17. JamiiForums Tanzania Maeneo 6 Duniani ambapo jua halizami

    6 places on Earth where the sun never sets! Our routine revolves around 24 hours a day, with around 12 hours of sunlight, and the remaining hours are night time. But, did you know that there are places across the world where the sun does not go down for more than 70 days? Imagine how...
  18. JamiiForums Tanzania Maeneo 6 Duniani ambapo jua halizami

    6 places on Earth where the sun never sets! Our routine revolves around 24 hours a day, with around 12 hours of sunlight, and the remaining hours are night time. But, did you know that there are places across the world where the sun does not go down for more than 70 days? Imagine how...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada/wanawake kutosalimia huku Duniani mjiandae kwa mrejesho

    Naomba wahenga na wadau wa masuala ya jinsia na mshikamano kwenye jamii mtusaidie, hii tabia inayokuwa Kwa kasi ya wadada/ wanawake kutosalimia mzizi wake ni nini. Binadamu Hazina yake kubwa ni utashi wa kusalimiana. Kusalimia sio kutongozwa, na haimanishi ndio unajenga masndalizi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais aliyetawala muda mrefu zaidi duniani anapigiwa kura tena leo

    Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema. Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…