duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  2. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  3. JamiiForums Tanzania Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

    ■India ■Thailand ■China ■Vatican ■Saudi Arabia ■Jamii zilizomo msitu wa Amazon Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio. Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
  4. JamiiForums Tanzania Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

    Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi. Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
  5. JamiiForums Tanzania “China Haul” yapata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii duniani

    Hivi karibuni, “China Haul” imepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani. Kutoka droni, hadi vipaza sauti visivyotumia waya, kutoka vifaa vya nyumbani, hadi mavazi ya kisasa, watu wenye ushawishi wanafungua na kuonesha bidhaa zilizonunuliwa nchini China, na kuvutia mashabiki wengi...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Je Israeli iko overrated? Au ni kweli wao ni wabobevu zaidi duniani?

    Swali la kama Israel ni "overrated" (imepewa sifa kupita kiasi) au la, linategemea sana sekta unayoiangalia (kijeshi, kiteknolojia, au kiuchumi) na vigezo unavyotumia. Tathmini halisi inaonyesha maeneo ambayo Israel iko juu sana kulingana na sifa zake, na maeneo mengine ambapo ukweli wa mambo...
  8. JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kweli kwenda sayari ya Mars na kurudi duniani?

    https://youtu.be/teh38l2_o5Y?si=5U6fUqn4aLEhIQrw
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndejembi, Guterres wazungumzia mageuzi ya un na amani duniani

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, katika Makao Makuu ya Umoja huo jijini New York, Marekani, tarehe 25 Septemba 2026, ambapo amempongeza kwa uongozi wake na...
  11. JamiiForums Tanzania Sheikh: Wake zetu wa Duniani ni wa Hovyo. Si kama wale wa Mbinguni

    Hawa wa duniani wanakatisha hata nyege sometimes. Peponi tutafaidi sana K. FaizaFoxy Ritz https://www.instagram.com/reel/Ddmbek3umFX/?stkn=NHhsdmN5NnBoZHY0
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

    Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi. Walianzisha mfumo dume Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili. Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu. Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi. Kwa kuzingatia...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

    Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Hiki kitu nimeshindwa kufanya kabisa kwa wanawakee kadhaa zaidi ya mara tano, kwa wanaoweza kwenda huko sijui wanatumia mbinu gani. Basi bhana wiki iliyopita kwenye pitapita zangu mitaa ya majengo hapa mkoani Arusha nikakutana na kabinti kamoja kazurizuri karefu kembamba , nikamsaundisha...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99.5 ya watu duniani ni machawa

    Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  17. JamiiForums Tanzania Mexico: Chimbuko la Biashara Haramu Duniani

    Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima. Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko...
  18. JamiiForums Tanzania SIRI YA KUFANIKIWA DUNIANI IPO KWENYE KUTOA MISAADA KWA (WAHITAJI)WENGINE(KANUNI YA KIROHO)

    MAFANIKIO NI YA KIROHO Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili. KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Gen Z ndiyo Kizazi kikubwa zaidi Duniani, Kikiwa na Watu bilioni 2.04

    Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87 (22.6%), huku Gen Alpha ikiwa na watu bilioni 1.74 (21.1%). Kwa pamoja, vizazi hivi vitatu vina...
  20. JamiiForums Tanzania CLARA LUVANGA AVUNJA REKODI YA USAJILI DUNIANI

    Nyota wa Kimataifa Kutoka Tanzania Clara Luvanga ametangazwa kuwa mchezaji mpya wa Washington Spirit inayishiriki Ligi Kuu ya Marekani akitokea Al Nassr ya Saudi Arabia Clara amesaini mkataba wa miaka minne mpaka mwaka 2029 na Ada ya uhamisho huo inaripotiwa kuwa Dola Milioni 2 ambayo itakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…