Vita dhidiyaujinga
JF-Expert Member
- May 15, 2026
- 211
- 270
Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
Ni kweli pia maana ya chawa iko wazi na Sasa wako kila levo.wachungaji wengi Wana machawa wanaowaita wazee wa makanisa, mabosi WENGI PIA WANAO INGAWA wanawaita wasaidizi wao, kwa ufupi hii ilikuwepo ni vile tu imeshika kasi na kupewa jina linaloeleweka zaidiMachawa mnajuana