duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

    Great Thinkers. Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele. Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

    Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu. Kila...
  3. JamiiForums Tanzania Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

    Mimi nanunua ubuyu nakula, Nanunua chips yai nakula Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume. Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani. Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

    Narudia Tena: Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania Kama serikali inaweza kusimamia Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..? Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?! Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Ndugu zangu naandika hapa nikiwa siko sawa mtanisamehe. Mm ni mfanya biashara (wakala) WA huduma za kifedha mpaka kufikia mwaka Jana mwezi WA 3 nilikua na mtaji usipungua milion 5. Ndani ya mwezi mmoja pesa ikaanza kupukutika, nyumba ambayo ni ni flem tulipo weka biashara zetu iliuzwa Kwa mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini

    Heri ya sikuu ya pasaka. Siri ya kuishi miaka mingi hapa Duniani ni kuishi Kwa matumaini, kuishi Kwa kuamini kwamba kesho itakuwa Bora, kupiga moyo konde na kuendelea kupambana Kwa matumaini ya kuipambania Tena kesho. Akija mtu kukwambiya kwamba, hakuna uhakika wa kuiona kesho, huyo mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaanga Russia na Marekani warejea duniani baada ya miezi tisa

    https://www.aljazeera.com/news/2025/4/20/soyuz-ms-26-spacecraft-brings-us-russia-crew-back-to-earth Kumbe wanashirikiana kwenye mambo ya anga
  8. JamiiForums Tanzania Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

    Harakati za kuvuka boda zinaendelea Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
  9. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi: Tukumbuke duniani kuna walioendelea kwa Chama kimoja, Vyama vingi na kwa udikteta wakizalendo

    Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi. Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa. Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
  10. JamiiForums Tanzania IFAHAMU KARAMA YAKO NA UITUMIE KUISHI VYEMA DUNIANI

    Hello Wana JF; Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI. * Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano ambayo yamegawanyika katika makundi, kuna mapambano ya kiimani, kiuchumi, n.k. Ila amini nakwambia hayo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mitume wa Yesu wangerudishwa leo duniani wangehubiri huu upuuzi unaohubiriwa na mitume na walimu mamboleo?

    Wewe unaueyumbishwa na wimbi la hawa matapeli wanaojiita mitume, manabii na walimu tafakari vizuri. Mitume wale waliotembea ma Yesu wangepewa kazi warudi duniani wangekuja kuhuburi hii injili uchwara inayohubiriwa leo makanisani na redioni? Wangekuwa wanabwabwaja kwa lugha za mashetani...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo. NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Simba adimu duniani auawa Liparamba

    Katika kijiji kidogo cha Mipotopoto, pembezoni mwa Pori la Akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, simulizi ya nadra na ya kusikitisha imetokea simba mwenye rangi ya kahawia na nyeupe, kiumbe adimu anayepatikana katika maeneo machache duniani, ameuawa baada ya kuingia kwenye makazi ya...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Uchambuzi wetu unaonesha katika nchi mbalimbali duniani, kususia uchaguzi kumeimarisha hujuma zaidi za dola dhidi ya demokrasia

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar. Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
  15. JamiiForums Tanzania Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

  17. JamiiForums Tanzania Ikiwa umechoka kukaa duniani njoo huku utembee nami.Na leo tutapita hapo hapo kwenu

    https://www.youtube.com/watch?v=xRPjKQtRXR8
  18. JamiiForums Tanzania Kuna tunda tamu kuliko hili duniani kweli???

    utamu wake ni zaidi ya papuchi
  19. JamiiForums Tanzania Ufunuo mkubwa duniani

    Wamekufundisha kuamini sayansi, lakini hawakukuambia kuwa nyuma ya vipimo na vitabu vyao kuna uchawi wa kale unaofufuka. Hii si nadharia ya vichaa – ni sauti ya mwisho kutoka kwa Anonymous Watcher, aliyefunua macho yake na kuona: dunia si duara, anga lina gamba, na milango ya kuzimu inaanza...
  20. JamiiForums Tanzania Wachina wanajivunia kuwepo duniani miaka 5000 na wanatarajia miaka 5000 tena. Sisi tuna haraka gani?

    Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!! Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…