Iliyoorodheshwa: Wauzaji Wakubwa wa silaha duniani.
Biashara ya silaha duniani imejikita zaidi miongoni mwa nchi chache, huku Marekani ikiwa mbele sana kuliko wasambazaji wengine wote. Kuanzia mwaka wa 2021 na 2025, Marekani ilichangia 42% ya mauzo ya silaha duniani, zaidi ya mara nne ya mgao...
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji.
Maadhimisho haya...
Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa.
Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana.
Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana.
Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga.
Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka.
Ilipoingia vita...
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:
Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
uchumi na biashara duniani kufikia Machi 2026.
1. Migogoro ya Mashariki ya Kati na Athari zake
Ugomvi unaoendelea Mashariki ya Kati umeanza kupiga mifuko ya walaji duniani kote.
Mashambulizi ya anga yaliyotokea mwishoni mwa Februari yamesababisha bei ya mafuta (Brent crude) kupanda kwa 13%...
Na Ruth Kyelula, Manyara
Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa.
Akizungumza na...
Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu
Je...
Wakuu
Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA
WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA
Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa
UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA
Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza,
Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.
Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
22 February 2026
Jalisco, Mexico
Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026
https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0
Nemesio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.