dunia

  1. JamiiForums Tanzania Maua pambo la dunia

    Ukiachana na nguvu ya urembo na mvuto. Maua yamekuwa pia yakitumika kwa karne nyingi sasa kusaidia katika kutibu maradhi mbalimbali. Maua mengine yanafahamika kwa uwezo wake wa kuzuia na kupambana na shida kama kichefuchefu, msongo wa mawazo na kitulizo cha maumivu. Kutokana na upekee wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania huenda tunaiongoza dunia kwa utii kwa Serikali yetu

    Habari waumini wa JF, Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke. Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga mkono Serikali yao. Iwe sheria mpya ya kodi ambayo inawaminya mbavu, wananchi wataiunga mkono, iwe...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Dunia ya Sasa na Malezi ya Watoto

    Dunia ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya zamani, simaanishi hizi ni dunia mbili hapana! Dunia ni ile ile isipokua mambo yanayojiri duniani hubadilika, kama ambavyo mazingira au sura ya dunia yalivyobadilika. Mabadiliko hayo ya dunia yameathiri sana maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa katika...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dunia imefika mwisho, Sayari ya Nibiru inadaiwa kuikaribia Dunia

    Stori: Oscar Ndauka, UWAZI DAR ES SALAAM na mitandao: Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua, Septemba Mosi, mwaka huu inazidi kuwapa hofu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  6. JamiiForums Tanzania Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula. Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha. Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, mzunguko wa mwezi kuizuka dunia hua una athali katika akili za wanadamu na tabia za wanadamu?

    Nawasalimu wakuu wote. Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu wanaita mchango hua unawapata zaidi wakati wa mwezi mchanga. Pia wakati huo hata kwa watu wengi...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  9. JamiiForums Tanzania Kweli dunia tunapita. Huwezi amini enzi za Polepole, Makonda na Bashiru zimepita kama umande

    Hakika dunia tunapita Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote . Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya. Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko...
  10. JamiiForums Tanzania Mila za ajabu: Nimebaki na mshangao baada ya kusoma kisa hiki

    Mimi sio muhubiri au anayeshadadia habari za Haki za wanawake (Ufeminist) Ila katika pita pita zangu nimeshasoma visa vingi sana ambayo walifanyiwa wanawake kwa lengo la kumfurahisha mwanaume ila matokeo yake ikawa ni mateso tu na kutweza utu wao. Ni visa vya ajabu na vya kupingwa kabisa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

    Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa.. Ndoa ilikuwa na maana na muhimu zaidi enzi za mababu kwasabb ilikuwa haiwezekani kumpata mtu wa kuchakatana naye bila ndoa. Watu walikuwa na maadili ya...
  12. JamiiForums Tanzania COVID19: Dunia nzima inapotoshwa? Siasa kwenye Afya?

    Covid19 ni virus? Kama ndivyo Virus : Non living organism outside of the host cell (si kiumbe Hai nje ya seli ya kiumbe hai) Mate hayana seli za kumuhifadhi(to host) kirusi. Je! Ni kwa namna gani Korona inaweza ambukizwa kwa njia ya hewa, (drop lets)? Kawaida ya magonjwa ya virusi mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kiongozi kufuata mkumbo wa dunia ni uongozi wa namna gani?

    Nimeshtuka sana baada ya mama yetu SSH kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo wa ulimwenguni wa kuchanja watu chanjo ya korona! Seriously, kwa kuwa dunia inachanja bila kujali madhara wanayopata kwa chanjo ya majaribio, na ukweli kwamba haikingi kihivyo, mnatutoa kwenye reli salama tuliyoachiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Rebranding Tanzania: Hongera Rais Samia, ni dhahiri Tanzania inaenda kuonekana kwenye ramani ya Dunia kiuchumi

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni. Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
  15. JamiiForums Tanzania Dunia ingeamua kuwasaidia walemavu, watu hawa wasingekuwa na shida

    Hiv ushawai jiukiza sku1 hawa walemavu tunaowapita barabarani kila siku wanaish maisha gani? Kula, kunywa, mavazi, afya nakadhalika. Unakuta mtu barabaran anaomba hana mikono, miguu; anaendeshwa kwenye wheelchair. Wapo walemavu wa aina nying ila kuna wale extreme yani. Hiv kweli serikali, well...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

    Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu. #RIPFrKarugendo Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii. 14/6/2021 “Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha...
  17. JamiiForums Tanzania Hela/pesa/fedha zimeharibu sana mahusiano na dunia kwa ujumla

  18. JamiiForums Tanzania Qatar yasema watakaopata Chanjo pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia

    Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia mwaka 2022. Taifa hilo limesema lipo katika majadiliano ili kupata Dozi Milioni 1 ili kutoa Chanjo kwa baadhi ya watu...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya dunia bila Afrika haipo

    Dar Iseeh katika Maisha huwa tunapitia Vitu vingi sana, vigumu na vyepesi mpaka vya kati Usimdharau mtu aiseeh, usimdharau mtu usie Mjua maana hujui juu yake, na hii haina maana kwamba umdharau unae mjua, hapana sina maana hiyo nataka kusema tu kuwa 𝗧𝘂𝗵𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗶𝗮𝗻𝗲. Katika maisha siku zote...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa hakuna marafiki, wamejaa ma-snitch tu

    Habar wadau! Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa wale amba hawana shughuli za kufanya, street boys Jana nikiwa pande fulan nilikutana na mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…