dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Sultani wa Mwisho Zanzibar, Sultan Sayyid Jamshid Al Said, Afariki Usiku Huu, Omani

    Wanabodi Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

    Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu dakika chache baadaye. Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika Desemba 28, yaani usiku wa kuamkia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

    Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed. The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in October. The Carter Center, which advocates for democracy and human rights around the world, said he...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

    Habarini wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
  5. JamiiForums Tanzania Faida za Marekani katika dunia yetu

    Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia Mimi nitaanza hapaa 1. Internet kagundua...
  6. JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu pande kuu nne za dunia

    Nawasalimu wote mliopo humu ndani Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya.. Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini, Kusini, Mashariki, na Magharibi?. bila shaka utaniambia ndio. Sasa katika ulimwengu wa roho hizi pande...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024, nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Japo wana udhaifu wao, wanawake ndio nguzo ya familia na dunia kwa jumla

    Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa UKIMWI ni janga la dunia

    Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili kesi ya Gekul afariki dunia Desemba 24, 2024

    Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024. Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh afariki akiwa na umri wa miaka 92

    Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh, ambaye alitawala nchi hiyo ya Kusini mwa Asia kwa mihula miwili na kuikomboa uchumi wake katika kipindi cha awali kama waziri wa fedha, amefariki dunia. Alikuwa 92. Singh, mwanauchumi aliyegeuka kuwa mwanasiasa ambaye pia aliwahi kuwa gavana wa...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Butiama, mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere afariki Dunia

    Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini. Alas,that is the only education he had. Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Meja Jenerali Mstaafu Martin Shiminzi Busungu afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametangaza kwa masikitiko kifo cha Meja Jenerali Martin Shiminzi Busungu (Mstaafu), kilichotokea tarehe 24 Disemba, 2024 majira ya saa 10:15 jioni wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Enzi za utumishi wake Jeshini...
  14. JamiiForums Tanzania "Yesu Kristo na Ufalme wa Mungu: Jinsi Mafundisho Yake Yanavyobadilisha Dunia"

    👉🏾Mafundisho ya Yesu Kristo yalikuwa ufunuo wa kimungu uliojaa upendo, msamaha, na haki, akionyesha muunganiko wa kibinadamu na kimungu. Alibadili mtindo wa uongozi wa wakati wake na kutoa mwanga wa kiroho katika ulimwengu uliojaa dhambi na udhalimu. 👉🏾Kwa kufundisha upendo usio na masharti na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lisu ni adimu sana Dunia.

    Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala wakajikataa Hebu msomeni Martin Luther na hata kina Che Guevara Watawala na wabadhirifu...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Samson Kibonde, baba yake Ephraim Kibonde afariki Dunia

    Hii imetokea jana asubuhi. Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua. Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha mimi kujiunga na JF. Ephraim Kibonde alikuwa anaongea katika kipindi cha Jahazi kwamba ukitaka...
  17. JamiiForums Tanzania Muigizaji Cherel (Michelle Botes) wa Isidingo afariki dunia

    Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia. Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De Villiers, na baadaye kuwa Cherel Haines baada ya kuolewa na tajiri Barker Haines, Ambapo katika...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia. Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
  19. JamiiForums Tanzania Hakujapata kutokea watu wanafiki dunia kama wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati

    Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake, Kiasi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii controversial ya Mwanzo wa ulimwengu na Dunia, Je inawezekana ndio siri kuu iliyofichwa na Mungu, Ukitoa Kifo ?

    Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc. Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu. "IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…