Amani iwe kwenu . Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nilikuwa nahisi hali yangu ya mfumo wa mkojo haiko sawa. Lakini kubwa ni kushindwa kujiziwia nikibanwa na haja ndogo. Mara nyingi nilikuwa nikienda hospitali niliambiwa nina mkojo mchafu( u.t.i) napewa dawa natumia napata nafuu...