duka

  1. M

    Duka gani Mwanza linauza playstation?

    nahitaji playstation kwaajili ya game mwanza zinapatikana wapi? au nisaidie mawasiliano yao
  2. Ukiwa unapita nje ya Duka la Dawa ukiona limeandikwa Duka la Dawa baridi huwa akili inafikiria nini?

    Habari Wakuu Heri ya jumapili! Mimi kwangu kwa akili yangu najua ni zipo kwenye friji 🤦😂😂 lakini nikiingia napewa za moto, najua kabisa lakini nafanya kusudi, Karibu tuichangamshe jumapili
  3. Natafuta duka la Toyota Spare kwa Dar

    Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
  4. P

    Biashara ya vifaa vya ushonaji...

    Wandugu salaam! Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara. Nawasilisha.
  5. M

    Nataka kuanza Biashara ya duka la rejareja msaada ushauri

    Hbr ndugu. Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo. Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo? Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo. NB Naomba ushauri pia juu...
  6. T

    Je, ni duka gani Kariakoo linauza friji nzuri za kisasa kwa bei nafuu?

    Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
  7. B

    Nataka kuanzisha duka la vyombo. Je, mtaji wa kuanzia unafaaa shilingi ngapi?

    Nataka kuanzisha duka la vyombo, nipo DSM, isue naitaji kujua wapi naweza kupata bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia unafaa shilingi ngapi?
  8. C

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

    Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
  9. Vihiga: Wawili washikiliwa na Polisi katika tukio la kuuawa kwa mlinzi wa duka

    Washukiwa wawili walikamatwa Jumanne kufuatia wizi uliofaanyka katika duka la Imara lililopo katika Kaunti ya Vihiga, ambapo katika tukio hilo mlinzi aliuawa na mwingine aliyejeruhiwa vibaya. Polisi wafafanua kuwa watu hao walivunja mlango wa nyuma na kisha kutumia silaha za moto kuwashambulia...
  10. U

    Naomba kujua duka la vitabu vya Hisabati vya kidato cha tano na cha sita Jijini Mbeya

    WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
  11. U

    Duka gani wanauza saa quality za uswiss (Swiss watches)?

    Wakuu umofia kwenu? Nauliza hapa Dar duka gani naweza pata saa quality za brand za uswiss kama vile Rado, Patek Phillipe, Rolex ambazo zina quality?
  12. Msaada: Nafikiria kuanzisha biashara ya duka la kuuza vifungashio na mifuko mbadala

    Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja. Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla wale wanaofanya biashara ya ku process na ku - pack vyakula vilivyoongezewa thamani hua wanatumia sana...
  13. Mwanaume aliyeniacha miaka miwili iliyopita baada ya kunifungulia duka anataka kunirudia

    Nilipompata nilisema nimepata, huyu mwanaume tuliishi vizuri ghafla akaanza kuwa busy. Katika kubembeleza nijue kulikoni nilinunua khanga na vitenge viende kwa mama yake kama zawadi ya sikukuu. Hiyo ndiyo siku alipofunguka kuwa haina haja kwani hatutakaa tuoane. Nililia, Sikuu ilikuwa chungu...
  14. Mwenye duka la spare za pikipiki/bajaji/toyo

    Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
  15. Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  16. Aliyesema Waziri Ummy kafungua duka la dawa za nguvu za kiume akamatwa

    Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa zinazotangazwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa hazijadhibitishwa ubora wake na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA). Akizungumza Jijini Dodoma mara baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Waziri wa...
  17. Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya) Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…