masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,567
- 20,111
Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
shukraniBiashara nzuri sema unahitaji uwe na fundi piki piki hapo nnje
ambae atakua anatengeneza piki piki za wateja
more info : onana na madereva boda boda
Asante sana mkuuKuhusu vifaa onana na mafundi pikpik ,,watakuambia vifaa gani uweke dukan maana wao wanajua ,kingine angalia zone uliyopo pikipik gan wanazopendelea watu ili uwaletea vifaa vinavyohusiana na pikpik hyo,,, kuna zone watu weng wanatumia boxer ,so inabid dukan uweke vifaa ving vya boxer