dubai

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar Kama Dubai, Hazina Sovereignty, - No Capacity to International Treaty, Kama Tumeingia Mkataba na Dubai, Kwanini Zanzibar Izuiwe Kujinga OIC?!

    Wanabodi, Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili. Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law. Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Udereva Dubai na Qatar

    Samahani Wana JF kwa walio na taarifa au walioko huko uarabuni Nataka nikasome driving ili niombee kazi huko Sasa naomba kuuliza ni madereva gani wanahitajika kama ni taxi au maloro naomba ufafanuzi NB : Sijui chochote kuhusu udereva kama nimekosea mtanisahihisha, kejeli zinaruhusiwa.
  4. JamiiForums Tanzania Nauza vitu mbalimbali

    NIWAACHIE KWA SHINGAPI SASA HII NINANJAA? NAOMBA 300K Naomba kwa hii unipe 180k IPHONE 7 PLUS naomba 220k 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽 HIYO IMETOKA DUBAI JANA PIA KAMA ZAWADI YANGU ILA NAKUACHIA KAMA OFFA KWA 650K RAM 8GB SSD 256GB TOUCH SCREEN NI HP.830 HII NAKUPA KWA BEI YA HASARA PIA INA 8GB RAM...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

    Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles ! Huyu balozi wa Tanzania nchini comoro achunguzwe Mara moja Ndo mshika account fichwa zilizobaki za Makamba na...
  6. JamiiForums Tanzania Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

    Hili jukwaa linaloheshimika sana ! Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali ya Beiruti Nimekumbuka kwenye corridor fulan tulikuwa tunaongea kwa Makamu wa Ufalmeni hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Dubai's Museum of the Future: A Journey Through Tomorrow

    Dubai's Museum of the Future: A Journey Through Tomorrow In the heart of Dubai, a city known for pushing boundaries, stands a remarkable testament to human ingenuity and vision: the Museum of the Future. A shimmering silver eye pierces the skyline, its sleek curves adorned with intricate Arabic...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

    Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Walimu watakaofaulisha Mbeya kupelekwa Dubai

    Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi kufundisha kwa bidii ili kupata nafasi hiyo. Akizungumza leo Julai 16 katika kikao cha tathimini ya elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...? Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...? Je unawaza kwenda Dubai kutembea...? Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo. Dubai ni nchi ambayo kipato chake kwa kiasi fulani kinategemea...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Miradi ya maana Dubai

    Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
  12. JamiiForums Tanzania The Silent Land Grab: Dubai Firm Buys Up African Forests, Displaces Indigenous Communities

    A not well-known environmental company based in Dubai is ferociously striking deals across Africa to control African forests. According to the UK magazine, 8% of Tanzanian forests are now owned by it, and including over 20 per cent of Zimbabwe 10 per cent of Liberia! The scramble for African...
  13. JamiiForums Tanzania Simu used from Dubai 🔥🔥🔥

    ᴅᴀꜱ ᴍᴏʙɪʟᴇ ᴇꜱꜱᴇɴᴛɪᴀʟs ᴍᴀᴢᴏᴇᴢɪ ꜱᴏꜰᴛ 📞0622962627 ɪᴘʜᴏɴᴇ ʙʀᴀɴᴅ —-ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ ᴘʀɪᴄᴇ 450,000/=✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ 400,000 ɴᴏ ꜰᴀᴄᴇ 💔✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴅᴍ ʙʜ 100ᴘʀɪᴄᴇ 650,000 ᴄʟᴇᴀɴ✅✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴘʀᴏ ᴍᴀx ɢʙ 256 ᴅᴍ ʙʜ 100 ᴘʀɪᴄᴇ 950,000 ᴄʟᴇᴀɴ✅✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴘʀᴏ ᴍᴀx...
  14. JamiiForums Tanzania Niagize chochote Dubai

    Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi! Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  16. JamiiForums Tanzania Kuza uchumi wako na manunuzi Direct Dubai

    Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na kukusaidia kupata bidhaa kwa bei nafuu kutoka Dubai. Kazi ya Kv dropshipping ni 1.Kupokea order binafsi(...
  17. JamiiForums Tanzania Dubai kujenga uwanja wa ndege kwa bilioni 91, ni nusu ya bajeti yetu tuliyoshindwa kuitekeleza

    Kweli vidole havifanani, Dubai jana imetangaza ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wenye thamani ya Tshs trilioni 91 kusini mwa mji ambao utaambatana na ujenzi wa mji mpya(wilaya) ambao umeshaanza kujengwa wenye kilomita za mraba 145. Gharama hizi za ujenzi ni zaidi ya mara mbili ya bajeti ya...
  18. JamiiForums Tanzania DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji. Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwamba anaendesha Utopia kwenye Mafuriko Dubai

    Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda. Sasa kuna jitu lenyewe halijali, limeonekana likiendesha gari yake Pagani Utopia kama ni off-road car kwenye maji. Na gari haikuzima (labda...
  20. JamiiForums Tanzania Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

    Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…