dubai

  1. Moon Dubai: Hoteli ya kifahari yenye umbo la mwezi

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unalenga kutambulika kama moja ya Nchi zenye Ubunifu wa Hali ya Juu zaidi duniani, na hilo kimekuwa likidhihirishwa kupitia Majengo yake ya kuvutia Hoteli ya Kitalii ya 'Moon Dubai' inatarajiwa kugharimu Dola Bilioni 5 (Tsh. 11,585,000,000,000). Itakuwa na urefu...
  2. Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  3. Biashara Spare parts za magari

    Habari za asubuhi mabibi na mabwana Ningependa kupata ushauri kwenu Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
  4. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  5. Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali. NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
  6. Msaada wa connection kupata accessories za simu Dubai

    Habarini wakuu Nahitaji kwenda Dubai kununua accessories za simu hivyo ninaomba Kwa mtu mwenye uzoefu aweze kunipa mwongozo na connection kufanikisha Hilo Natanguliza shukurani:-
  7. Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  8. M

    Dubai na Uturuki yanufaika kwa wimbi la mamilionea wa Kirusi kutoroka nchini mwao

    Mzuka wanajamvi! Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki. Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi la hawa mamilionea wa kirusi ambao wamehamishia hela zao huko. Mamilionea hao wanatoroka Urusi...
  9. L

    “Mgahawa wa Mbwa" huko Dubai

    Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa. Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao vipenzi na kufurahia chai ya alasiri.
  10. Msiba (mkubwa) Dubai!

    Sheikh Khalifa raisi wa Emirates amewatoka, huyo ndiyo aliyeijenga Dubai kama ijulikanavyo leo hii!
  11. Dada wa DRC amegeuzwa kuwa mbwa huko Dubai

    Inasikitisha sana wakuu
  12. Why in Dubai

    Karungi Monic a.k.a Mona kizz katika mitandao ya kijamii amejiua kwa kujirusha kutoka ghorofani huko Dubai. Wiki hii Dubai imetrend sana 🙄 R.I.P
  13. Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

    Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu. Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
  14. Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

    Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16. SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
  15. Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  16. Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

    Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia. ===== Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa...
  17. Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

    Mbona hii ajabu sasa, madini ya pesa ndefu kama hii yalichimbwa hapa nchini kwetu na kusafirishwa Dubai bila mamlaka za serikali kufahamu? Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai ====== Rare 8,400 carat rough ruby lands in Dubai for auction...
  18. Tathmini ushiriki wetu Dubai Expo 2020

    Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Tulipata audience na wawekezaji serious? Mikataba gani tulisaini? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
  19. Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

    History ya nchi zetu inashangaza sana. Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri. Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam. Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia...
  20. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…