mr mtenya Member Joined Apr 9, 2021 Posts 16 Reaction score 17 Jul 25, 2026 #1 Habari,mimi ni dereva wa daraja la pili,umri miaka 32 natafuta kazi,kwa mwenye uhitaji namba za simu 0659972797
Habari,mimi ni dereva wa daraja la pili,umri miaka 32 natafuta kazi,kwa mwenye uhitaji namba za simu 0659972797
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,790 Reaction score 31,301 Jul 26, 2026 #2 Umecheki kazi za Serikali? You people mnahitajika sana kwa sasa. Kuna gap karibia la Madereva 1500 huko Serikalini. Jaribu huko hutakosa
Umecheki kazi za Serikali? You people mnahitajika sana kwa sasa. Kuna gap karibia la Madereva 1500 huko Serikalini. Jaribu huko hutakosa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,095 Reaction score 195,853 Jul 26, 2026 #3 Kila la kheri... Cc: Mahondaw