dr slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

    Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari. Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi...
  2. Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  3. Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

    Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015. Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha...
  4. Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

    Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe... Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, mtu wa ajabu ajabu, anayosema hayana kichwa wala mkia, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya...
  5. Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama. Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi...
  6. Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  7. R

    Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi

    Hello! Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu. ~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) ~ Namba: 0674074563 ~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar ~ Nipo Temeke Dar es Salaam
  8. Dkt. Slaa ulisahau nini huko CHADEMA?

    Huyu mzee kweli ni oppurtunist. Alishachaguliwa kuwa Balozi wetu huko Sweden, na alichaguliwa na serikali ya CCM. Sasa tunamuona tena, mdomo juu, kakimbilia CHADEMA na magwanda yake. Kiapo chake cha utii kwa Serikali ya CCM kiliisha lini? Na kasahau kitu gani huko CHADEMA?
  9. Januari 5, 2011, ni siku aliyekuwa mchumba wa Dtk. Slaa alipokipigania CHADEMA kwa maumivu makali

    Januari 5, 2011 Arusha, Tanzania. Hii ni siku ambayo wapenda amani wote hatutakaa tuisahau. Ni siku ambayo tuliondokewa na wapendwa wetu huku wengine wengi wakipata majeraha mabaya akiwemo aliyekuwa mchumba wa Dr Slaa. Hakika ilikuwa siku ya huzuni sana. Nakumbuka mimi nilikuwa nimetoka Burka...
  10. J

    Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
  11. Dkt. Slaa ashauriwe

    Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe. 1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe...
  12. S

    Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
  13. Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana...
  14. J

    Ni dhahiri akina Dr Slaa, Dr Migiro, Masilingi na Wazee wengine sasa watarudi nyumbani kupisha damu changa!

    Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani. Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha. Kazi Iendelee!
  15. GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
  16. Ipi ni alama ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania? Dkt. Slaa ametufunza kupinga ufisadi,je huyu mwamba?

    Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania? Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dkt. Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba...
  17. J

    Hii ndio CCM kimetoka chuma kimeingia chuma siyo kama CHADEMA kaondoka Dkt. Slaa imepoteza mwelekeo

    Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi. CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa. Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi. Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi...
  18. J

    Wanasiasa waliosingiziwa sana ni Kawawa, Lowassa na Ridhiwani pia wanasiasa waliosingizia sana ni Dr Slaa na Tundu Lissu!

    Moja kwa moja kwenye pointi ni kwamba kama kuna wanasiasa waliosingiziwa sana kwa habari za uongo nchi hii basi ni Kawawa rip wakati wa chama kimoja na mzee Lowassa na Ridhiwani Kikwete wakati wa vyama vingi. Na wanasiasa wanaoongoza kwa kuwasingizia wenzao habari za uzushi ni Dr Slaa na Tundu...
  19. J

    CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

    Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu. Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu. Mzee Lowassa aliondoka...
  20. R

    GE2020 Ukimya wa Dkt. Slaa na Edward Lowassa wakati huu wa kampeni ni kumuunga mkono Tundu Lissu Kimya kimya?

    Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…