Salaam , Shalom!
Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.
Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.
Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa...