Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi...